Adani Airports Holdings ya India yaomba kuwekeza uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta kwa miaka 30

Adani Airports Holdings ya India yaomba kuwekeza uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta kwa miaka 30

Hata kama wakenya wakiukodisha lakini itakuwa ni win win situation both sides.siyo kama tz ambako ni one side win stuatiion than other
 
Shida umejawa na chuki dhidi ya wakosoaji wa serikali ya awamu hii. Unakubaliana na uwekezaji wa mwekejazi kuja bila chochote na kuvuna pesa tu.
Nani aliyekuja bila chochote?
 
Huo Uwanja wa Ndege wa KIA Waarabua wanautaka kwa ajili ya kusafirushia Wanyamapori kuwapeleka kwao mafuta yanaanza kuisha wanataka Utalii uongezeke kwao.
 
Huo Uwanja wa Ndege wa KIA Waarabua wanautaka kwa ajili ya kusafirushia Wanyamapori kuwapeleka kwao mafuta yanaanza kuisha wanataka Utalii uongezeke kwao.
Kuna viwanja vikubwa ndani ya Ruaha, Nyerere NP ndio ije kuwa hapo KIA ya mjini?
 
Back
Top Bottom