Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
My Take
Ingekuwa niNchi ya Lebanon Watu wangesema Rais ameuza Mali zao 😂😂👇👇
View: https://twitter.com/BD_Africa/status/1816345140870467864?t=RvyhphFNJ6RI2o3hj2wagg&s=19
Siyo miaka 100 kama Tanganyika?Wamepangishwa miaka 30.
🤣🤣🤣Siyo miaka 100 kama Tanganyika?
My Take
Ingekuwa niNchi ya Lebanon Watu wangesema Rais ameuza Mali zao 😂😂👇👇
View: https://twitter.com/BD_Africa/status/1816345140870467864?t=RvyhphFNJ6RI2o3hj2wagg&s=19
Huku mkataba upo kwenye flash ya Rostam ndugu yanguHata kama wakenya wakiukodisha lakini itakuwa ni win win situation both sides.siyo kama tz ambako ni one side win stuatiion than other
Nani aliyekuja bila chochote?Shida umejawa na chuki dhidi ya wakosoaji wa serikali ya awamu hii. Unakubaliana na uwekezaji wa mwekejazi kuja bila chochote na kuvuna pesa tu.
My Take
Ingekuwa niNchi ya Lebanon Watu wangesema Rais ameuza Mali zao 😂😂👇👇
View: https://twitter.com/BD_Africa/status/1816345140870467864?t=RvyhphFNJ6RI2o3hj2wagg&s=19
Mkuu, umeonge ukweli mtupu.Naona tumeshindwa kila kitu Waafrika na kuamua kukodi au kuuza kila kitu
Nchi zingine wamepiga mnada kabisa kwa Wachina
Wapi waliposema uwanja wa ndege umeuzwa? 😂😂😂😂Kwa akili zako unaona ni Sawa kuuza uwanja wa ndege? Unasikitisha
Mkataba gani una miaka 100 Kwa Tanganyika?Siyo miaka 100 kama Tanganyika?
Kuna viwanja vikubwa ndani ya Ruaha, Nyerere NP ndio ije kuwa hapo KIA ya mjini?Huo Uwanja wa Ndege wa KIA Waarabua wanautaka kwa ajili ya kusafirushia Wanyamapori kuwapeleka kwao mafuta yanaanza kuisha wanataka Utalii uongezeke kwao.
Hao Wanyamapori kutoka Kanda ya Kaskazini Serengeti Ngorongoro Tarangire Grumeti nk.Kuna viwanja vikubwa ndani ya Ruaha, Nyerere NP ndio ije kuwa hapo KIA ya mjini?
Inasikitisha sanaMkuu, umeonge ukweli mtupu.
Haya tusubiri!Hao ADANI Airport zao za India zenyewe hazina tofauti na Jomo Kenyatta sasa sijui wataleta nini kipya?