Adani Group kutumia Tsh. Trilioni 2.4 kuwekeza kwenye Umeme Tanzania

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Serikali ya Tanzania inafanya mazungumzo na Adani Group ya India na Gridworks Development Partners ya Uingereza kwa ajili ya kuingia ubia wa uwekezaji katika Mradi wa Umeme kwa Dola Milioni 900 (Tsh. Trilioni 2.4) na Dola Milioni 300 (Tsh. Bilioni 817).

Mtandao wa India Times umeandika Kamishna wa Idara ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP), David Kafulila amesema mazungumzo yanaendelea.

Huo ni mwendelezo wa Bilionea wa India, Gautam Adani ambaye ameonesha nia ya kutanua soko lake Afrika Mashariki kwa kuwa mbali na kusaini Mkataba wa Miaka 30 katika Bandari ya Dar es Salaam pia anataka kuwekeza katika umeme Nchini #Kenya katika Mradi wa Dola Milioni 736 (Tsh. Trilioni 2).

==================

Adani Group seeks to invest $900 million in Tanzania power lines

Tanzania is negotiating with the Adani Group and UK company Gridworks Development Partners for public-private partnerships involving $900 million and $300 million power-line projects. The Adani Group is also expanding in East Africa, including a 30-year concession in Dar es Salaam and ongoing talks in Kenya, sparking local protests and legal actions.

Tanzania is in talks with the Adani Group for a $900 million public-private partnership project to construct high-voltage power lines, according to an official of the east African nation.

Adani Group has expressed its interest to the East African government, according to David Kafulila, executive director of Tanzania’s Public-Private Partnership Centre. Tanzania is also in talks with UK company Gridworks Development Partners LLP for a $300 million power-lines project under the public-private partnership.

Indian billionaire Gautam Adani’s company is expanding its footprint in East Africa with investments in Tanzania and neighboring Kenya. Tanzania awarded it a 30-year concession in May to operate the main container terminal at the port of Dar es Salaam.

In Kenya, Adani is in talks with the nation’s electricity transmission company for a concession to construct high-voltage power lines valued at $736 million. The group’s proposal to run the nation’s main airport in the capital, Nairobi, has sparked protests, Senate hearings and lawsuits.

Source: Indiatimes
 
Ni jambo jema
 
Kwani zikijenga za ndani Taifa litapungukiwa na Nini?

Kama wewe ndio Kafulila basi unachokitafuta kitaliponza Taifa...mpe hiyo Tender hata Bakhresa hiyo pesa irudi nyumbani...
Wana hela za kushika miradi ya mabilioni? Hakuna watakachopungukiwa ila miradi hiyo ni ya pesa nyingi na hawana uwezo wamkushindana na wageni kimtaji na uzoefu.

Unadhani Kwa nini Wachina Wanajenga Barabara kubwa?
 
Serikali ya Tanzania inafanya mazungumzo na Adani Group ya India na Gridworks Development Partners ya Uingereza kwa ajili ya kuingia ubia wa uwekezaji katika Mradi wa Umeme kwa Dola Milioni 900 (Tsh. Trilioni 2.4) na Dola Milioni 300 (Tsh. Bilioni 817).

Mtandao wa India Times umeandika Kamishna wa Idara ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP), David Kafulila amesema mazungumzo yanaendelea.

Huo ni mwendelezo wa Bilionea wa India, Gautam Adani ambaye ameonesha nia ya kutanua soko lake Afrika Mashariki kwa kuwa mbali na kusaini Mkataba wa Miaka 30 katika Bandari ya Dar es Salaam pia anataka kuwekeza katika umeme Nchini #Kenya katika Mradi wa Dola Milioni 736 (Tsh. Trilioni 2).

==================

Adani Group seeks to invest $900 million in Tanzania power lines

Tanzania is negotiating with the Adani Group and UK company Gridworks Development Partners for public-private partnerships involving $900 million and $300 million power-line projects. The Adani Group is also expanding in East Africa, including a 30-year concession in Dar es Salaam and ongoing talks in Kenya, sparking local protests and legal actions.

Tanzania is in talks with the Adani Group for a $900 million public-private partnership project to construct high-voltage power lines, according to an official of the east African nation.

Adani Group has expressed its interest to the East African government, according to David Kafulila, executive director of Tanzania’s Public-Private Partnership Centre. Tanzania is also in talks with UK company Gridworks Development Partners LLP for a $300 million power-lines project under the public-private partnership.

Indian billionaire Gautam Adani’s company is expanding its footprint in East Africa with investments in Tanzania and neighboring Kenya. Tanzania awarded it a 30-year concession in May to operate the main container terminal at the port of Dar es Salaam.

In Kenya, Adani is in talks with the nation’s electricity transmission company for a concession to construct high-voltage power lines valued at $736 million. The group’s proposal to run the nation’s main airport in the capital, Nairobi, has sparked protests, Senate hearings and lawsuits.

Source: Indiatimes
UFISADI TANZSNIA TUMESHA JENGA BWAWA LA UMEME WAWEKEZAJI WA NINI ...KITU KINACHO HMFANYIKA HAPO NI MCHEZO MCHAFU WA KIFISADI
 
Laumeme Lili Isha tuangalie mengine Hawa vipi Hawa?
 
Baadae utasikia mkataba ni wa kifisadi, ukivunja unalipa trillion 10. Hii nchi Acha tu
Hii kampuni ya Adani Group ina sifa mbaya katika uwekezaji na ndio maana ana mgogo ro na wananchi wa Kenya kwa serikali yao kuingia mkataba na Adani kuwekeza Jomo Kenyatta International Airport!!
Kafulila asituingize kwenye mikataba tata na makampuni ya mafisadi. Itakuwa vyema kama Kafulila ataweka wazi mikataba ya PPP ili wananchi wajiridhishe kwani nchi hii rushwa imekithiri.
Wamempa Adani Group kuendesha gati hapo bandari salama; inaelekea Kafulila na wenzie wamehongwa donge nono na hawa wahindi kiasi kwamba wanataka wampe kila kitu huyu mühindi!! He is a corrupt guy who is known for shoddy deals! Kafulila beware.
 
Sijui kwanini mafisadi yanapenda sana kuwekeza kwenye umeme.

Tuliambiwa kwamba NHEPP ikianza kufanya kazi tatizo la umeme litakuwa historia what happened.
 
UCHUMI: Serikali ya Tanzania inafanya mazungumzo na Adani Group ya India na Gridworks Development Partners ya Uingereza, kwaajili ya kuingia ubia wa uwekezaji katika Mradi wa Umeme kwa Dola Milioni 900 (Tsh. Trilioni 2.4) na Dola Milioni 300 (Tsh. Bilioni 817) mtawalia

Mtandao wa India Times umeandika kuwa Kamishna wa Idara ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP), David Kafulila amesema mazungumzo yanaendelea

Aidha, Kampuni ya Adani imesaini Mkataba wa Miaka 30 katika Bandari ya Dar es Salaam na inataka kuwekeza katika umeme Nchini #Kenya katika Mradi wa Dola Milioni 736 (Tsh. Trilioni 2)

Soma Adani Group kutumia Tsh. Trilioni 2.4 kuwekeza kwenye Umeme Tanzania

#JamiiForums #ServiceDelivery #JFHuduma #Governance
 
Attachments

  • FB_IMG_1728028871349.jpg
    FB_IMG_1728028871349.jpg
    56.7 KB · Views: 11
  • FB_IMG_1728028883867.jpg
    FB_IMG_1728028883867.jpg
    43.1 KB · Views: 9
  • FB_IMG_1728028898878.jpg
    FB_IMG_1728028898878.jpg
    56.6 KB · Views: 8
Back
Top Bottom