FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Powerlines za kwenda wapi labda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii serikali ya CCM ingekua na akili ingeleta wawejezaji kwenye sekta ya maji.
Dar maji tabu, sijui Tabora, singida vijijini huko kwa kina mwigulu hakuna maji ya bomba, tuseme serikali hawalioni Hilo?
Tumejenga bwawa MTU anakuja mchana kweupe anakuambia anataka kukuletea umeme, hata Kama hatuna akili hii Ni extreme.
Baada ya miaka 5 ijayo subirini ripoti ya upigaji huyu ni mwamba kwa issue kama hiziSerikali ya Tanzania inafanya mazungumzo na Adani Group ya India na Gridworks Development Partners ya Uingereza kwa ajili ya kuingia ubia wa uwekezaji katika Mradi wa Umeme kwa Dola Milioni 900 (Tsh. Trilioni 2.4) na Dola Milioni 300 (Tsh. Bilioni 817).
Mtandao wa India Times umeandika Kamishna wa Idara ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP), David Kafulila amesema mazungumzo yanaendelea.
Huo ni mwendelezo wa Bilionea wa India, Gautam Adani ambaye ameonesha nia ya kutanua soko lake Afrika Mashariki kwa kuwa mbali na kusaini Mkataba wa Miaka 30 katika Bandari ya Dar es Salaam pia anataka kuwekeza katika umeme Nchini #Kenya katika Mradi wa Dola Milioni 736 (Tsh. Trilioni 2).
==================
Adani Group seeks to invest $900 million in Tanzania power lines
Tanzania is negotiating with the Adani Group and UK company Gridworks Development Partners for public-private partnerships involving $900 million and $300 million power-line projects. The Adani Group is also expanding in East Africa, including a 30-year concession in Dar es Salaam and ongoing talks in Kenya, sparking local protests and legal actions.
Tanzania is in talks with the Adani Group for a $900 million public-private partnership project to construct high-voltage power lines, according to an official of the east African nation.
Adani Group has expressed its interest to the East African government, according to David Kafulila, executive director of Tanzania’s Public-Private Partnership Centre. Tanzania is also in talks with UK company Gridworks Development Partners LLP for a $300 million power-lines project under the public-private partnership.
Indian billionaire Gautam Adani’s company is expanding its footprint in East Africa with investments in Tanzania and neighboring Kenya. Tanzania awarded it a 30-year concession in May to operate the main container terminal at the port of Dar es Salaam.
In Kenya, Adani is in talks with the nation’s electricity transmission company for a concession to construct high-voltage power lines valued at $736 million. The group’s proposal to run the nation’s main airport in the capital, Nairobi, has sparked protests, Senate hearings and lawsuits.
Source: Indiatimes
Kwani zikijenga za ndani Taifa litapungukiwa na Nini?
Kama wewe ndio Kafulila basi unachokitafuta kitaliponza Taifa...mpe hiyo Tender hata Bakhresa hiyo pesa irudi nyumbani...
Sekta ya umeme kwenye taifa ni sekta nyeti sana hao wakiwekeza hayo mamilioni ya dola basi wanaweza kupata access moja kwa moja na huwezi kumnyima access au control mtu amewekeza mamilioni na siku wakitaka kuliangamiza taifa basi ni zoezi la sekunde tu wote tunateketeaSijui kwanini mafisadi yanapenda sana kuwekeza kwenye umeme.
Tuliambiwa kwamba NHEPP ikianza kufanya kazi tatizo la umeme litakuwa historia what happened.
Waulize chichiem mzee wao ndiyo washika dolaSijui kwanini mafisadi yanapenda sana kuwekeza kwenye umeme.
Tuliambiwa kwamba NHEPP ikianza kufanya kazi tatizo la umeme litakuwa historia what happened.
another smell of grand corruption, yaani hawa umbwa wamenunua uwanja wa ndege kenya na eneo lote hadi mpaka wa namanga kwa madai ya uwekezaji mara hii wanakuja bongo maaweeeeeeeeeeeee, mmekwisha sasa hayo mamegawati ya stiglers hayawatoshi ama, misielewei kabisaaaa.Serikali ya Tanzania inafanya mazungumzo na Adani Group ya India na Gridworks Development Partners ya Uingereza kwa ajili ya kuingia ubia wa uwekezaji katika Mradi wa Umeme kwa Dola Milioni 900 (Tsh. Trilioni 2.4) na Dola Milioni 300 (Tsh. Bilioni 817).
Mtandao wa India Times umeandika Kamishna wa Idara ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP), David Kafulila amesema mazungumzo yanaendelea.
Huo ni mwendelezo wa Bilionea wa India, Gautam Adani ambaye ameonesha nia ya kutanua soko lake Afrika Mashariki kwa kuwa mbali na kusaini Mkataba wa Miaka 30 katika Bandari ya Dar es Salaam pia anataka kuwekeza katika umeme Nchini #Kenya katika Mradi wa Dola Milioni 736 (Tsh. Trilioni 2).
==================
Adani Group seeks to invest $900 million in Tanzania power lines
Tanzania is negotiating with the Adani Group and UK company Gridworks Development Partners for public-private partnerships involving $900 million and $300 million power-line projects. The Adani Group is also expanding in East Africa, including a 30-year concession in Dar es Salaam and ongoing talks in Kenya, sparking local protests and legal actions.
Tanzania is in talks with the Adani Group for a $900 million public-private partnership project to construct high-voltage power lines, according to an official of the east African nation.
Adani Group has expressed its interest to the East African government, according to David Kafulila, executive director of Tanzania’s Public-Private Partnership Centre. Tanzania is also in talks with UK company Gridworks Development Partners LLP for a $300 million power-lines project under the public-private partnership.
Indian billionaire Gautam Adani’s company is expanding its footprint in East Africa with investments in Tanzania and neighboring Kenya. Tanzania awarded it a 30-year concession in May to operate the main container terminal at the port of Dar es Salaam.
In Kenya, Adani is in talks with the nation’s electricity transmission company for a concession to construct high-voltage power lines valued at $736 million. The group’s proposal to run the nation’s main airport in the capital, Nairobi, has sparked protests, Senate hearings and lawsuits.
Source: Indiatimes
Hii ilikuwa comment yangu kwenye huu uzi na tayari huko kwa Tramp kimewaka. Jamaa kasheburuzwa mahakamani ila huku atapita bila kupingwaBaada ya miaka 5 ijayo subirini ripoti ya upigaji huyu ni mwamba kwa issue kama hizi
Ruto alikuwa analihutubia bunge la Kenya leo na amefuta dili zote za Adani Kenya.Hii ilikuwa comment yangu kwenye huu uzi na tayari huko kwa Tramp kimewaka. Jamaa kasheburuzwa mahakamani ila huku atapita bila kupingwa