Conquistador
JF-Expert Member
- Jun 10, 2024
- 1,435
- 3,463
Ule ubia wa TRC NA WAHINDI MMESAHAU MARA HII. KAFULILA KWANI AMEZALIWA JUZI?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi yule waliyempa kituo pale Makunganya Morogoro aliishia wapiUCHUMI: Serikali ya Tanzania inafanya mazungumzo na Adani Group ya India na Gridworks Development Partners ya Uingereza, kwaajili ya kuingia ubia wa uwekezaji katika Mradi wa Umeme kwa Dola Milioni 900 (Tsh. Trilioni 2.4) na Dola Milioni 300 (Tsh. Bilioni 817) mtawalia
Mtandao wa India Times umeandika kuwa Kamishna wa Idara ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP), David Kafulila amesema mazungumzo yanaendelea
Aidha, Kampuni ya Adani imesaini Mkataba wa Miaka 30 katika Bandari ya Dar es Salaam na inataka kuwekeza katika umeme Nchini #Kenya katika Mradi wa Dola Milioni 736 (Tsh. Trilioni 2)
Soma Adani Group kutumia Tsh. Trilioni 2.4 kuwekeza kwenye Umeme Tanzania
#JamiiForums #ServiceDelivery #JFHuduma #Governance
Hii ni Ile waliyoikataa kuwekeza ktk airport ya Kenya au nyingine?Serikali ya Tanzania inafanya mazungumzo na Adani Group ya India na Gridworks Development Partners ya Uingereza kwa ajili ya kuingia ubia wa uwekezaji katika Mradi wa Umeme kwa Dola Milioni 900 (Tsh. Trilioni 2.4) na Dola Milioni 300 (Tsh. Bilioni 817).
Mtandao wa India Times umeandika Kamishna wa Idara ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP), David Kafulila amesema mazungumzo yanaendelea.
Huo ni mwendelezo wa Bilionea wa India, Gautam Adani ambaye ameonesha nia ya kutanua soko lake Afrika Mashariki kwa kuwa mbali na kusaini Mkataba wa Miaka 30 katika Bandari ya Dar es Salaam pia anataka kuwekeza katika umeme Nchini #Kenya katika Mradi wa Dola Milioni 736 (Tsh. Trilioni 2).
==================
Adani Group seeks to invest $900 million in Tanzania power lines
Tanzania is negotiating with the Adani Group and UK company Gridworks Development Partners for public-private partnerships involving $900 million and $300 million power-line projects. The Adani Group is also expanding in East Africa, including a 30-year concession in Dar es Salaam and ongoing talks in Kenya, sparking local protests and legal actions.
Tanzania is in talks with the Adani Group for a $900 million public-private partnership project to construct high-voltage power lines, according to an official of the east African nation.
Adani Group has expressed its interest to the East African government, according to David Kafulila, executive director of Tanzania’s Public-Private Partnership Centre. Tanzania is also in talks with UK company Gridworks Development Partners LLP for a $300 million power-lines project under the public-private partnership.
Indian billionaire Gautam Adani’s company is expanding its footprint in East Africa with investments in Tanzania and neighboring Kenya. Tanzania awarded it a 30-year concession in May to operate the main container terminal at the port of Dar es Salaam.
In Kenya, Adani is in talks with the nation’s electricity transmission company for a concession to construct high-voltage power lines valued at $736 million. The group’s proposal to run the nation’s main airport in the capital, Nairobi, has sparked protests, Senate hearings and lawsuits.
Source: Indiatimes
ADANI GROUP Walitaka kuwekeza Kenya wananchi wa Kenya wakaandamana kuwakataa ikabidi Serikali ya Kenya isitishe kuingia nao mkatabaSerikali ya Tanzania inafanya mazungumzo na Adani Group ya India na Gridworks Development Partners ya Uingereza kwa ajili ya kuingia ubia wa uwekezaji katika Mradi wa Umeme kwa Dola Milioni 900 (Tsh. Trilioni 2.4) na Dola Milioni 300 (Tsh. Bilioni 817).
Mtandao wa India Times umeandika Kamishna wa Idara ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP), David Kafulila amesema mazungumzo yanaendelea.
Huo ni mwendelezo wa Bilionea wa India, Gautam Adani ambaye ameonesha nia ya kutanua soko lake Afrika Mashariki kwa kuwa mbali na kusaini Mkataba wa Miaka 30 katika Bandari ya Dar es Salaam pia anataka kuwekeza katika umeme Nchini #Kenya katika Mradi wa Dola Milioni 736 (Tsh. Trilioni 2).
==================
Adani Group seeks to invest $900 million in Tanzania power lines
Tanzania is negotiating with the Adani Group and UK company Gridworks Development Partners for public-private partnerships involving $900 million and $300 million power-line projects. The Adani Group is also expanding in East Africa, including a 30-year concession in Dar es Salaam and ongoing talks in Kenya, sparking local protests and legal actions.
Tanzania is in talks with the Adani Group for a $900 million public-private partnership project to construct high-voltage power lines, according to an official of the east African nation.
Adani Group has expressed its interest to the East African government, according to David Kafulila, executive director of Tanzania’s Public-Private Partnership Centre. Tanzania is also in talks with UK company Gridworks Development Partners LLP for a $300 million power-lines project under the public-private partnership.
Indian billionaire Gautam Adani’s company is expanding its footprint in East Africa with investments in Tanzania and neighboring Kenya. Tanzania awarded it a 30-year concession in May to operate the main container terminal at the port of Dar es Salaam.
In Kenya, Adani is in talks with the nation’s electricity transmission company for a concession to construct high-voltage power lines valued at $736 million. The group’s proposal to run the nation’s main airport in the capital, Nairobi, has sparked protests, Senate hearings and lawsuits.
Source: Indiatimes
Apa Kuna namna ya upigaji unatengenzwa....Serikali ya Tanzania inafanya mazungumzo na Adani Group ya India na Gridworks Development Partners ya Uingereza kwa ajili ya kuingia ubia wa uwekezaji katika Mradi wa Umeme kwa Dola Milioni 900 (Tsh. Trilioni 2.4) na Dola Milioni 300 (Tsh. Bilioni 817).
Mtandao wa India Times umeandika Kamishna wa Idara ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP), David Kafulila amesema mazungumzo yanaendelea.
Huo ni mwendelezo wa Bilionea wa India, Gautam Adani ambaye ameonesha nia ya kutanua soko lake Afrika Mashariki kwa kuwa mbali na kusaini Mkataba wa Miaka 30 katika Bandari ya Dar es Salaam pia anataka kuwekeza katika umeme Nchini #Kenya katika Mradi wa Dola Milioni 736 (Tsh. Trilioni 2).
==================
Adani Group seeks to invest $900 million in Tanzania power lines
Tanzania is negotiating with the Adani Group and UK company Gridworks Development Partners for public-private partnerships involving $900 million and $300 million power-line projects. The Adani Group is also expanding in East Africa, including a 30-year concession in Dar es Salaam and ongoing talks in Kenya, sparking local protests and legal actions.
Tanzania is in talks with the Adani Group for a $900 million public-private partnership project to construct high-voltage power lines, according to an official of the east African nation.
Adani Group has expressed its interest to the East African government, according to David Kafulila, executive director of Tanzania’s Public-Private Partnership Centre. Tanzania is also in talks with UK company Gridworks Development Partners LLP for a $300 million power-lines project under the public-private partnership.
Indian billionaire Gautam Adani’s company is expanding its footprint in East Africa with investments in Tanzania and neighboring Kenya. Tanzania awarded it a 30-year concession in May to operate the main container terminal at the port of Dar es Salaam.
In Kenya, Adani is in talks with the nation’s electricity transmission company for a concession to construct high-voltage power lines valued at $736 million. The group’s proposal to run the nation’s main airport in the capital, Nairobi, has sparked protests, Senate hearings and lawsuits.
Source: Indiatimes
Inataka uzoefu na hii miradi ni hela ndefu sana, Bakhresa anaweza lakini sio fani yake labda kama aliwahi kufanya sijuiKwani zikijenga za ndani Taifa litapungukiwa na Nini?
Kama wewe ndio Kafulila basi unachokitafuta kitaliponza Taifa...mpe hiyo Tender hata Bakhresa hiyo pesa irudi nyumbani...
Ina viongozi wendawazimu wengi sana. I think it's high time kufanya mental check-up ya viongozi wetuSerikali ya Tanzania inafanya mazungumzo na Adani Group ya India na Gridworks Development Partners ya Uingereza kwa ajili ya kuingia ubia wa uwekezaji katika Mradi wa Umeme kwa Dola Milioni 900 (Tsh. Trilioni 2.4) na Dola Milioni 300 (Tsh. Bilioni 817).
Mtandao wa India Times umeandika Kamishna wa Idara ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP), David Kafulila amesema mazungumzo yanaendelea.
Huo ni mwendelezo wa Bilionea wa India, Gautam Adani ambaye ameonesha nia ya kutanua soko lake Afrika Mashariki kwa kuwa mbali na kusaini Mkataba wa Miaka 30 katika Bandari ya Dar es Salaam pia anataka kuwekeza katika umeme Nchini #Kenya katika Mradi wa Dola Milioni 736 (Tsh. Trilioni 2).
==================
Adani Group seeks to invest $900 million in Tanzania power lines
Tanzania is negotiating with the Adani Group and UK company Gridworks Development Partners for public-private partnerships involving $900 million and $300 million power-line projects. The Adani Group is also expanding in East Africa, including a 30-year concession in Dar es Salaam and ongoing talks in Kenya, sparking local protests and legal actions.
Tanzania is in talks with the Adani Group for a $900 million public-private partnership project to construct high-voltage power lines, according to an official of the east African nation.
Adani Group has expressed its interest to the East African government, according to David Kafulila, executive director of Tanzania’s Public-Private Partnership Centre. Tanzania is also in talks with UK company Gridworks Development Partners LLP for a $300 million power-lines project under the public-private partnership.
Indian billionaire Gautam Adani’s company is expanding its footprint in East Africa with investments in Tanzania and neighboring Kenya. Tanzania awarded it a 30-year concession in May to operate the main container terminal at the port of Dar es Salaam.
In Kenya, Adani is in talks with the nation’s electricity transmission company for a concession to construct high-voltage power lines valued at $736 million. The group’s proposal to run the nation’s main airport in the capital, Nairobi, has sparked protests, Senate hearings and lawsuits.
Source: Indiatimes
Sijui kwanini mafisadi yanapenda sana kuwekeza kwenye umeme.
Tuliambiwa kwamba NHEPP ikianza kufanya kazi tatizo la umeme litakuwa historia what happened.
Tanzania umeme hautakaa uwe wa uhakika milele.Nchi hii sehemu za kupiaga hela ni kwenye umeme na madini
Ndio maana wapigaji wanapapenda sana
Adani Group ndio Ile Ile ilivyokua ipewe tenda ya kuendesha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta, Nairobi?Serikali ya Tanzania inafanya mazungumzo na Adani Group ya India na Gridworks Development Partners ya Uingereza kwa ajili ya kuingia ubia wa uwekezaji katika Mradi wa Umeme kwa Dola Milioni 900 (Tsh. Trilioni 2.4) na Dola Milioni 300 (Tsh. Bilioni 817).