Adani Group kutumia Tsh. Trilioni 2.4 kuwekeza kwenye Umeme Tanzania

kwa sasa uwekezaji unaohitajika ni umeme wa Upepo na Solar ila kuhusu bwawa la Mwalimu Nyerere Tulishamaliza kazi
 
Hapo ndo ninaposhangaaga mie. Yaani tunajenga bwawa, tunaweka nguzo tunasambaza vijini halafu ghafla tunaita mwekezaji atuendeshee biashara😅🤯🤯.

Au tunaunda barabara za zege, tunanunua mabasi, tunafukuza daladala tu aiweka biashara saaaaaf kabisa. Halafu ghafla tunaita mwekezaji aje atuendeshee biashara 😏😳😳

Wawekezaji waje wawekeze sio kuneemeka tu. Na uwekezaji unaanzia sifuri, sio biashara ishasimamishwa tayari unaanzia kwenye concept kabisa. Mfano sasa ivi ndo muda muafaka kuita mwekezaji wa nishati ya Nyukilia TZ yeaaah hapo sawa
 
Hivi yule waliyempa kituo pale Makunganya Morogoro aliishia wapi
 
Hii ni Ile waliyoikataa kuwekeza ktk airport ya Kenya au nyingine?
 
Hawa walifukuzwa Mombasa bandarini,huku Kenya.

Bwawa na umeme la Nyerere halifanyo KAZI Tena?

Saa100 siku alizaliwa, sijui
 
ADANI GROUP Walitaka kuwekeza Kenya wananchi wa Kenya wakaandamana kuwakataa ikabidi Serikali ya Kenya isitishe kuingia nao mkataba

Sasa wameamua kują Tanzania maana nchi yetu ni Shamba la Bibi na kwa tunavomjua Chura kiwiz atamwaga wino chap kama vile anavosign terms za Google.
 
Wahindi janja mingi,anakupa mkataba usaini ila anakupa Sambusa na pilipili kibao ili usisome vizuri...
 
Apa Kuna namna ya upigaji unatengenzwa....
 
Kwani zikijenga za ndani Taifa litapungukiwa na Nini?

Kama wewe ndio Kafulila basi unachokitafuta kitaliponza Taifa...mpe hiyo Tender hata Bakhresa hiyo pesa irudi nyumbani...
Inataka uzoefu na hii miradi ni hela ndefu sana, Bakhresa anaweza lakini sio fani yake labda kama aliwahi kufanya sijui
Kama tuna makampuni makubwa yenye hela why not
Ni kama Muhongo alivyosema kuhusu uchimbaji wa gesi asilia kuwa hakuna mwenye uwezo Tz
 
Ina viongozi wendawazimu wengi sana. I think it's high time kufanya mental check-up ya viongozi wetu
 
Nchi ya laana hii.

Wazee wote waliokuwa CCM na waliopo sasa laana izidi kiwa kwenu.

Bwaww la Nyerere linatoa umeme wa kutosha na sidhani kama kuna tatizo hilo ila leo mnaenda kumpa mtu tenda, how?
 
Sijui kwanini mafisadi yanapenda sana kuwekeza kwenye umeme.

Tuliambiwa kwamba NHEPP ikianza kufanya kazi tatizo la umeme litakuwa historia what happened.

Nchi hii sehemu za kupiaga hela ni kwenye umeme na madini

Ndio maana wapigaji wanapapenda sana
 
Adani Group ndio Ile Ile ilivyokua ipewe tenda ya kuendesha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta, Nairobi?
 
Hii serikali ya CCM ingekua na akili ingeleta wawejezaji kwenye sekta ya maji.
Dar maji tabu, sijui Tabora, singida vijijini huko kwa kina mwigulu hakuna maji ya bomba, tuseme serikali hawalioni Hilo?
Tumejenga bwawa MTU anakuja mchana kweupe anakuambia anataka kukuletea umeme, hata Kama hatuna akili hii Ni extreme.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…