Addicted with kuhonga!!

Addicted with kuhonga!!

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Poleni na maisha ya kuishi bila umeme wakuu!ebana me cjui nikoje,yan nkimtongoza demu 2 akinambia nimpe tym akafikirie,bac ntaanza kujipendekeza kwa kumrushia vocha,na kumuonyesha namjal kinafiki afu asilimia kubwa ya ninao wafanyiaga hvo huwa wanaingia king,then me nakula mzigo baada ya cku kadhaa namshit...so sasa hvi naanza kujsh2kia kuwa hyo co njia nzur ya kupata mpz wa kwel..ni2mie principal gan wakuu maana naona haya co maisha ukizingatia pesa zenyewe nnazoz2mia ni zenu nyie walipa kodi wa tanzania{boom}.

Wewe kuwakilisha hilo tatizo ni stage ya kwanza...
ina maana unajua nini unafanya... kwa hio sio mbaya endelea kuhonga...
Na imeni uma kweli kua kama unazungumzia boom ina maana upo chuo...

Bado hamjaanza course ya mwaka ya kwanza ya Philosophy??
Vitu kama reasoning, logic, analysis... viko familliar??

We honga tu boom ikiisha au ukimaliza chuo ndo utapata msukumo wa kuacha kuhonga na majuto juu!

Poleni na maisha ya kuishi bila umeme wakuu!ebana me cjui nikoje,yan nkimtongoza demu 2 akinambia nimpe tym akafikirie,bac ntaanza kujipendekeza kwa kumrushia vocha,na kumuonyesha namjal kinafiki afu asilimia kubwa ya ninao wafanyiaga hvo huwa wanaingia king,then me nakula mzigo baada ya cku kadhaa namshit...so sasa hvi naanza kujsh2kia kuwa hyo co njia nzur ya kupata mpz wa kwel..ni2mie principal gan wakuu maana naona haya co maisha ukizingatia pesa zenyewe nnazoz2mia ni zenu nyie walipa kodi wa tanzania{boom}.

kodi twalipa sote....hata mtoto aliyezaliwa leo...........TRA wanaikusanya.......................tatizo langu ni kuwa................wewe nawe unaishi bei poa...............kama hawa waathirika wa ghiliba zako........kumbuka mwiba uingiliako ndiko utokeako.................ukitaka penzi la kweli keep your selfish ends...............................to yourself....................................then you may end up with real love........though I truly doubt there is still any in this treacherous World.................

We honga tu boom ikiisha au ukimaliza chuo ndo utapata msukumo wa kuacha kuhonga na majuto juu!

bado mwaka mmoja nimalize na ndo nimeanza kujuta hvo da lizy.

unawapata kwa kuwarushia vocha tu......?

na v2 vngne vidogo vidogo..

We kweli una matatizo yani vocha ndio unaona unajua kuhonga achaga izo bana ebu ongeza bidii ktka kuhonga ili ukisema watu wakuelewe.

Kama unawapata kwa kuhonga vocha na vitu vidogo vidogo mkuu unapata thamani halisi ya utumiavyo,wenzio wanahonga magari,nyumba,trip za ulaya/marekani na baada ya muda wanaachwa.Nilishuhudia muhindi alimnunulia dada mmoja nyumba na baada ya kumuandikisha nyumba tu akahamia na boyfriend wake na kumkana muhindi na kumtisha akimsumbua tena atamshitaki.

Pole kaka ila ukila usisahau usalama wako.....pia kama hiyo tabia ni ya kuzaliwa ni afadhali utafute pesa kwa bidiii vinginevyo utakuwa maskini milele.

huo ndo uanaume sasa, mpaka umalize chuo utakuwa umejua utamu wa kuhonga, unaweza kuhonga mshahara mzima kisa game la siku mmoja, hapo ndo utajua kuwa mtu huwezi kupiga chafya huku macho yanaona.

huo ndo uanaume sasa, mpaka umalize chuo utakuwa umejua utamu wa kuhonga, unaweza kuhonga mshahara mzima kisa game la siku mmoja, hapo ndo utajua kuwa mtu huwezi kupiga chafya huku macho yanaona.

khaaaah!!me nataka kuacha hii tabia mkuu.

We kweli una matatizo yani vocha ndio unaona unajua kuhonga achaga izo bana ebu ongeza bidii ktka kuhonga ili ukisema watu wakuelewe.

Na me kanichefua sana nilifiri labda anahonga nyumba,gari nk. Kumbe vocha? Damn!!!

usije ukamuuliza vocha yenyewe anayohonga, utakuta jero ama buku siku za sikukuu! utoto raha kweli!
unawapata kwa kuwarushia vocha tu......?

Na me kanichefua sana nilifiri labda anahonga nyumba,gari nk. Kumbe vocha? Damn!!!

kila m2 anatoa kulingana na nafas yake,me naweza nkatoa sh 1 ikawa kubwa kwangu bt kwa mwingne kuitoa hyo sh 1 ni sawa hajatoa chochote..

usije ukamuuliza vocha yenyewe anayohonga, utakuta jero ama buku siku za sikukuu! utoto raha kweli!

si kweli.

Mkuu pole sana kwa hiyo tabia,dawa ni kumuomba mungu,nathani musa si mrefu utaacha tabia hiyo!

khaaaah!!me nataka kuacha hii tabia mkuu.

safi sana, njia ya muhimu ni kuamua we mwenyewe, usiige, ikatae hiyo tabia toka rohoni mwako, jione we ni mtu mwovu usie faa kitu na njia ya kujirudisha kwenye jamii ni kujitakasa kwa kuacha kufanya unayofanya.

Back
Top Bottom