danceforme
JF-Expert Member
- Aug 3, 2026
- 593
- 1,398
Sex ndio Mlezi wa addiction..Mengine ni Matokeo ya kujiliwaza
hio sio addiction, ukikosa chakula wafa, ni mahitaji muhimu ya binadamu na viumbe vyoteNjaa
Nakazia...
Hahahaaaa dah!Konyagi kubwa
Ganda ni balaaKucheza kamari - Kubeti mpira siku zenye mechi, Kindege, n.k.
Pombe
Sex
Punyeto
Sigara
Bangi
Pombe nimewahi kushuhudia kuna jamaa hio siku arosto zilimkamata sana na hana pesa, akili zilifyatuka aliiba simu ya rafiki yake. hakupoteza muda, alienda kuiuza kwa bei ya kutupa, halafu akanyoosha moja kwa moja hadi kwenye viti virefu.
Rafiki yake alipotushirikisha na kuhakiki simu imeibiwa wala hakupanic. Alimfuata tu mpaka bar, akamkuta usiku huo akiwa amelewa chakari.
Kesho yake alizinduka na kichapo cha maana, akaambiwa aonyeshe alipouza simu, kwa bahati nzuri hata walionunua walijua itafatwa tu, waliirudisha walipopewa hela yao
Ya kwako niaje hapoHiyo ya kuji secretarybird na mbaga 😆
Huwezi ku explain this , kila mtu ana experience tofauti na namna anayvodili na hiui changamotoKucheza kamari - Kubeti mpira siku zenye mechi, Kindege, n.k.
Pombe
Sex
Punyeto
Sigara
Bangi
Pombe nimewahi kushuhudia kuna jamaa hio siku arosto zilimkamata sana na hana pesa, akili zilifyatuka aliiba simu ya rafiki yake. hakupoteza muda, alienda kuiuza kwa bei ya kutupa, halafu akanyoosha moja kwa moja hadi kwenye viti virefu.
Rafiki yake alipotushirikisha na kuhakiki simu imeibiwa wala hakupanic. Alimfuata tu mpaka bar, akamkuta usiku huo akiwa amelewa chakari.
Kesho yake alizinduka na kichapo cha maana, akaambiwa aonyeshe alipouza simu, kwa bahati nzuri hata walionunua walijua itafatwa tu, waliirudisha walipopewa hela yao
Ya kwangu jeiefu😁Ya kwako niaje hapo
Hilo kundi tupo pamoja, naanza juhudi za kupambana, sipendi kitu kiniendeshe.Ya kwangu jeiefu😁
Unajicontrol tu unafanya mambo mengine pia, hakuna kingine babuHilo kundi tupo pamoja, naanza juhudi za kupambana, sipendi kitu kiniendeshe.
Apart from jf, kipi kingine?
Umemaanisha nini?Unajicontrol tu unafanya mambo mengine pia, hakuna kingine babu
kuna kipindi pemba zilinipelekesha mpaka nikawa nazisafirisha kwa bus zinifikie nilipo! Miaka minne imepita sijazitumia!
Kuna addiction zinaachika ukizicontrol mapema