M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 8,825
- 20,941
1-SexKucheza kamari - Kubeti mpira siku zenye mechi, Kindege, n.k.
Pombe
Sex
Punyeto
Sigara
Bangi
Pombe nimewahi kushuhudia kuna jamaa hio siku arosto zilimkamata sana na hana pesa, akili zilifyatuka aliiba simu ya rafiki yake. hakupoteza muda, alienda kuiuza kwa bei ya kutupa, halafu akanyoosha moja kwa moja hadi kwenye viti virefu.
Rafiki yake alipotushirikisha na kuhakiki simu imeibiwa wala hakupanic. Alimfuata tu mpaka bar, akamkuta usiku huo akiwa amelewa chakari.
Kesho yake alizinduka na kichapo cha maana, akaambiwa aonyeshe alipouza simu, kwa bahati nzuri hata walionunua walijua itafatwa tu, waliirudisha walipopewa hela yao
2-Illicit drugs
3-Cigarettes
4-Mkorogo(vipodozi hatarishi)