Addiction unaijua wewe! achana nayo kabisa

Addiction unaijua wewe! achana nayo kabisa

Uzuri addiction yako na yangu hazina ugomvi.

We wakati unaangalia addiction yako, we itenge vizuri nisusie nami nihangaike na addiction yangu, huku tunaangalia ya kwako.

Sasa tuone addiction ipi tamu, je ni mimi nitaacha nitaangalia tv au ni wewe utanogewa utaendelea kwenye addiction yangu, yako uipotezee utamu ukikuzidia. [emoji23][emoji23][emoji1787]
[emoji28][emoji28]ili jamaa miyeyusho
 
Unahisi nazungumzia pombe or wanawake! No, duniani Kuna vitu vina addiction hujawahi ona. Mimi mfano kuna jamaa Zangu wana mabasi ukiwaambia kuhusu scania hawakwambia kitu. Unaijua kadhia ya scania wewe, anyway tuache hayo

Hivi mitsubishi fuso unaijua wewe. Kuna sehemu nilikuwa nayo yeaah, ni rahaaaaah.! Watu wenye Tandam huwambii kitu..Kabsaa!maisha ni kuchagua

Mimi hunambii chochote kuhsu konyagii.

Wadau karibuni kwa addiction zenu.
Kunusa pussie!
 
Tv....ni kheri niwe na tv tolea jipya kuliko iPhone au simu yoyote mpya..ikifuatiwa na kula na kunywa maji ya baridi..hapo nakuwa nimemaliza shida hata nikifia hapo hapo sawa tu
 
Unahisi nazungumzia pombe or wanawake! No, duniani Kuna vitu vina addiction hujawahi ona. Mimi mfano kuna jamaa Zangu wana mabasi ukiwaambia kuhusu scania hawakwambia kitu. Unaijua kadhia ya scania wewe, anyway tuache hayo

Hivi mitsubishi fuso unaijua wewe. Kuna sehemu nilikuwa nayo yeaah, ni rahaaaaah.! Watu wenye Tandam huwambii kitu..Kabsaa!maisha ni kuchagua

Mimi hunambii chochote kuhsu konyagii.

Wadau karibuni kwa addiction zenu.

Sina
 
Back
Top Bottom