Kariakooking1978
JF-Expert Member
- Jul 11, 2023
- 549
- 1,078
Internet
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna uhusiano wowote kati ya hizi nyota na addiction anayopata mtu?
Upo maana mimi ni vivid exampleKuna uhusiano wowote kati ya hizi nyota na addiction anayopata mtu?
Sawasawa
[emoji28][emoji28]ili jamaa miyeyushoUzuri addiction yako na yangu hazina ugomvi.
We wakati unaangalia addiction yako, we itenge vizuri nisusie nami nihangaike na addiction yangu, huku tunaangalia ya kwako.
Sasa tuone addiction ipi tamu, je ni mimi nitaacha nitaangalia tv au ni wewe utanogewa utaendelea kwenye addiction yangu, yako uipotezee utamu ukikuzidia. [emoji23][emoji23][emoji1787]
Kunusa pussie!Unahisi nazungumzia pombe or wanawake! No, duniani Kuna vitu vina addiction hujawahi ona. Mimi mfano kuna jamaa Zangu wana mabasi ukiwaambia kuhusu scania hawakwambia kitu. Unaijua kadhia ya scania wewe, anyway tuache hayo
Hivi mitsubishi fuso unaijua wewe. Kuna sehemu nilikuwa nayo yeaah, ni rahaaaaah.! Watu wenye Tandam huwambii kitu..Kabsaa!maisha ni kuchagua
Mimi hunambii chochote kuhsu konyagii.
Wadau karibuni kwa addiction zenu.
subiri keshoFanya tuje tusikilize wote huo mziki
😜😜😜Muziki
Nangoja Kwa hamu kubwa sanasubiri kesho
Yes napenda sana
kucheza je?Yes napenda sana
Unahisi nazungumzia pombe or wanawake! No, duniani Kuna vitu vina addiction hujawahi ona. Mimi mfano kuna jamaa Zangu wana mabasi ukiwaambia kuhusu scania hawakwambia kitu. Unaijua kadhia ya scania wewe, anyway tuache hayo
Hivi mitsubishi fuso unaijua wewe. Kuna sehemu nilikuwa nayo yeaah, ni rahaaaaah.! Watu wenye Tandam huwambii kitu..Kabsaa!maisha ni kuchagua
Mimi hunambii chochote kuhsu konyagii.
Wadau karibuni kwa addiction zenu.
Hapana napenda kusikilizakucheza je?
hayaaaHapana napenda kusikiliza
Nikilewa ndio nacheza huku nayumbahayaaa
mpaka ulewe? mimi nina nyimbo na nyimboNikilewa ndio nacheza huku nayumba
Nikilewa ndio napata stim za kuchezampaka ulewe? mimi nina nyimbo na nyimbo