Addiction unaijua wewe! achana nayo kabisa

Addiction unaijua wewe! achana nayo kabisa

Kufanya mazoezi , imekua addiction hasa kukimbia na kuruka kamba, yaan hii ni asubuhi na jioni ni kitu nnachofurahia sana !!
Kukimbia naenda kwa pace 5' kwa Km nikiwa na vibe hadi 4:40 😂 kwa kuruka kamba nikiwa na muziki na naruka style tofauti tofauti hata saa zima yani !
 
Kufanya mazoezi , imekua addiction hasa kukimbia na kuruka kamba, yaan hii ni asubuhi na jioni ni kitu nnachofurahia sana !!
Kukimbia naenda kwa pace 5' kwa Km nikiwa na vibe hadi 4:40 [emoji23] kwa kuruka kamba nikiwa na muziki na naruka style tofauti tofauti hata saa zima yani !
Uko vizuri jomba[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Kwa kipindi hiki, hali ya hewa hii, waongo watakuwa wengi, mimi nakuwa mkweli, mda huu na wakati huu, nipate kifua kimetuna, upaja umenona, na tako lenye spongy hivi, pembeni niwe na k-vanga ndogo mbili...siku inaisha poa kabisa!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]fanyaa jambo ukamilisheee hlo swala mkuu, manzi mkali mix vant na maji pemben ,aiseeeeee km nakuonaaa mkuu [emoji23][emoji1787][emoji23]
 
Back
Top Bottom