Addiction unaijua wewe! achana nayo kabisa

Watching movies/series. Yaani sijui nifanyeje nipunguze maana duuh🙆🙆🙆
Uzuri addiction yako na yangu hazina ugomvi.

We wakati unaangalia addiction yako, we itenge vizuri nisusie nami nihangaike na addiction yangu, huku tunaangalia ya kwako.

Sasa tuone addiction ipi tamu, je ni mimi nitaacha nitaangalia tv au ni wewe utanogewa utaendelea kwenye addiction yangu, yako uipotezee utamu ukikuzidia. 😂😂🤣
 
Hebu niache🤣🤣
 
Back
Top Bottom