Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Khaaah!🤣Kumbuka ule wimbo.. "Huyo ndio chaguo langu. "
Nami ni chaguo lako nkushindaje tena mamsapu? 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Khaaah!🤣Kumbuka ule wimbo.. "Huyo ndio chaguo langu. "
Nami ni chaguo lako nkushindaje tena mamsapu? 😂
Ungesubiri konyagi iishe kichwani ndio uandike uzi mkuuUnahisi nazungumzia pombe or wanawake! No, duniani Kuna vitu vina addiction hujawahi ona. Mimi mfano kuna jamaa Zangu wana mabasi ukiwaambia kuhusu scania hawakwambia kitu. Unaijua kadhia ya scania wewe, anyway tuache hayo
Hivi mitsubishi fuso unaijua wewe. Kuna sehemu nilikuwa nayo yeaah, ni rahaaaaah.! Watu wenye Tandam huwambii kitu..Kabsaa!maisha ni kuchagua
Mimi hunambii chochote kuhsu konyagii.
Wadau karibuni kwa addiction zenu.
Kumbe umeoa?Mkuu! Nawahi hospital mke wangu anajifungua nikirudi tutaendelea
Kheeeh! 😂Khaaah!🤣
Muzikimusic hasa na hii hali ya hewa na hivi ni weekend akaa yani leo ni mimi muziki au kitanda
Fanya tuje tusikilize wote huo mzikimusic hasa na hii hali ya hewa na hivi ni weekend akaa yani leo ni mimi muziki au kitanda
Haina madhara punyeto ðŸ˜ðŸ¤£ðŸ˜ðŸ¤£Nadhani kitu chenye addiction zaidi ulimwenguni ni punyeto na betting,maana hata humu JF kila siku ni vilio.
Hizo addiction za wanawake sigara pombe zinaweza kuwa cha mtoto
Duuuhkuvua mamba, yaani kumtoa mamba kwenye maji kwa mikono napata raha sana
Sawaa imeishaa na kichwaa kiko vizur..kongole kwa nyag...nazpigaga ucku na asubuh chai chapat nakunywaa..no hangover kabisaUngesubiri konyagi iishe kichwani ndio uandike uzi mkuu
Nje ya mada kidogo
Nyota ya ndooNje ya mada kidogo
Aquarius maana ake nini?
Nataka kupata maarifa