Shida utembei hata ulipo hapo ujawahi kufika wilaya nyengine.Nyie mna nini, hata maji ya kuoga hamna, mko hoi kuliko wao
Soma uelewe, unakurupuka sanaMaghorofa kitu gani umasikini wako wa akili ndo unakutuma kuamini maendeleo ni maghorofa
Takataka
Dogo hakuna nchi sijafika dunia hii, niombe radhiShida utembei hata ulipo hapo ujawahi kufika wilaya nyengine.
Nakueleza nimeshafika huko Ethiopia uzuri wa mji sio uzuri wa wananchi wake.
kila siku si wanakamatwa wakikimbilia south frica.
Ndio maghorofa ni maendeleo, kwani umesikia wanajenga maghorofa halafu wanayaacha empty bila kazi yoyote? Ni ofisi za makampuni hizo, pia ni appartment na makazi bora ya watuMaghorofa kitu gani umasikini wako wa akili ndo unakutuma kuamini maendeleo ni maghorofa
Takataka
Sawa na Dar bila maji au sioNdio maghorofa ni maendeleo, kwani umesikia wanajenga maghorofa halafu wanayaacha empty bila kazi yoyote? Ni ofisi za makampuni hizo, pia ni appartment na makazi bora ya watu
We jamaa una IQ ndogo sana, nitajie nchi iliyoendelea ambayo haina maghorofa mengi
Wanajenga viwanda vingiHiyo nchi wananchi wake wananuka umaskini.
Embu sogelea mpakani na kenya Ethiopian ukaone vijana wa kule wakija kenya kufanya kazi za kibarua.
Majengo sio msaada kama ujaweza kusaidia wananchi wako kufikia kuona raha ya nchi yao.
Tuvalu umefika alafu wewe mtoto mdogo sana tambua una baba zakoDogo hakuna nchi sijafika dunia hii, niombe radhi
Unashindwa kuelewa ukweli kuwa Ethiopia wananchi wake wana maisha magumu Sana mpaka wanakufa na njaaNdio maghorofa ni maendeleo, kwani umesikia wanajenga maghorofa halafu wanayaacha empty bila kazi yoyote? Ni ofisi za makampuni hizo, pia ni appartment na makazi bora ya watu
We jamaa una IQ ndogo sana, nitajie nchi iliyoendelea ambayo haina maghorofa mengi
Mkuu relax,Maghorofa kitu gani umasikini wako wa akili ndo unakutuma kuamini maendeleo ni maghorofa
Takataka
Kwa hiyo kwa kuwa watu wa Ethiopia ni masikini basi wasijenge nchi yao, sio?Shida utembei hata ulipo hapo ujawahi kufika wilaya nyengine.
Nakueleza nimeshafika huko Ethiopia uzuri wa mji sio uzuri wa wananchi wake.
kila siku si wanakamatwa wakikimbilia south frica.
Mkuu relax,
Mleta mada anaongelea investment,
Ni kweli wakati nchi inafanya investment kwenye kuijenga nchi,kuna watu watakua na matatizo ila investing is a powerful long term strategy to improve life by building wealth,achieving financial freedom.
Basi sawa, naomba unielimishe jinsi ya kuimprove maisha ya watuSahihi Ila kwa Ethiopia ni miaka mingi sasa imepita wamekuwa wakifanya hivyo.
Nadhani hapa Tanzania katika Magereza mengi mahabusu wengi wa kigeni wanaoongoza ni wao wa Ethiopia wanakimbia Sana nchi yao.
Hatupingi uwekezaji Ila lazima uwekeze kwa kuinua Maisha ya watu na miundombinu .
Mkuu,wote mpo sahihi ila mnaiongelea hii issue katika two different angle,Sahihi Ila kwa Ethiopia ni miaka mingi sasa imepita wamekuwa wakifanya hivyo.
Nadhani hapa Tanzania katika Magereza mengi mahabusu wengi wa kigeni wanaoongoza ni wao wa Ethiopia wanakimbia Sana nchi yao.
Hatupingi uwekezaji Ila lazima uwekeze kwa kuinua Maisha ya watu na miundombinu .
umeelezea kwa usahihi sana , kwa kweli ndo hapo tumshukuru Nyerere alijitahidi sana kutuchanganya na kuondoa ukabila, Mfano ile tabia hata ya mawaziri kutoka angalau kanda zote, wanafunzi kusoma kokote bila kujali unatoka wapi ? ni zanzibar tu ndo kidogo bado kuna ubaguzi ukienda kusoma kule kutokea bara watakutenga sana lakini kwa bara wazee wetu walijitahidi sana kuondoa ukabilaAsili ya migogoro ya kikabila kwa nchi kama Ethiopia na Nigeria ni zile tawala za kifalme za zamani
Utawala wa Abyssynia ulikuwa wa kabila la Amhara licha ya kuwa na makabila mengine makubwa ilibi yafuate utawala huo na baadaye jeshi lilikua wengi kutoka Tigray
Hii mipaka iliyowekwa na wakoloni na kulazimisha baadhi ya makabila kuwa sehemu ya nchi moja ikasababisha migogoro ya ardhi na rasilimali nyingine
Kuan makabila hayakutaka kuwa chini y utawala wa makabila mengine tangu zamani ila mipaka ya kikoloni hata kama hawakutawaliwa ilibidi waifuate
Makabila makubwa kwa Ethiopia ni Oromo, Amhara na Tigriya. Kuna mengine zaidi ya 80 kama wasomali , Sidama lakini hawana ushawishi wa kisiasa
Hao wote wanapambania rasilimali za nchi kulingana na ukubwa na historia ya uongozi wa nchi kwa ujumla
na ndio wanaendeleza hivyo mpaka leo
Unapata shida sana kumuelewesha huyoUnashindwa kuelewa ukweli kuwa Ethiopia wananchi wake wana maisha magumu Sana mpaka wanakufa na njaa
Kwamba Ethiopia ni maskini is a fact not a shitNdugu zako wamejazana South wanapiga umachinga,waliobaki wanapigwa vumbi tandale hawajui kesho watakula nini,acha kuongea shit wakati mko hoi kuliko