Addis Ababa itakuja kuwa kama Dubai miaka 20 ijayo, sio kwa ujenzi huu aisee

Mara ya mwisho kuwa Addis ni lini. Maana according to the video maendeleo makubwa yameonekana in recent 6 to 7 years
2021 when i was back home from beijing after a freaking lockdown . I stayed for a day. Nchi bora nayoipenda Afrika kusema ukweli ni Ethiopia but kuwa dubai si nzuri kusema hivyo. Ethiopia inapitia mengi . Kiuchumi na kila kitu . But its beautiful but watu wake ni maskini na huo uzuri naona hauna tija sana.
 
Maybe kwasababu ya Jiographia na migogoro, but ni fursa kwa watu nje ya ethiopia kukua na kwenda. Eritea wanapeta kwa sababu ya bahari. Na hiyo bahari ingekuwa ethiopia , ingrkuwa mbali sana. Unanikumbusha mitaa ya Shashaman kwa marasta kwenda kupoa hahha
 
Kwa sababu ya migogoro ya wenyewe kwa wenyewe, maisha magumu, mishahara midogo na uhaba wa ajira
Ndio maana sasahivi wanajenga nchi yao kwa kasi, wana utilize resources, GDP ipande, wapunguze dependency kutoka kwa mabeberu ili isaidie kusolve haya matatizo
Sasa mbona Magufuli alivyokua anaijenga nchi wapinzani wake alisema yanayotakiwa ni Maendeleo ya watu na siyo Maendeleo ya vitu?
 
Maendeleo ya VITU ni ujinga badala uwekeze katika ustawi wa watu kwanza then ndo uamie katika VITU wewe unajeng Viwanja vya ndege huku wananchi wanakufa kwa njaa

Mimi nimeshuhudia Wa Ethiopia wengi wakiikimbia nchi yao

Tanzania hapa hauwezi kufananisha na wananchi wa Ethiopia .
Ethiopia ya Sasa ni balaa

Waziri mkuu wa Abiy anachapa kazi

Na project sio Addis Tu ni nchi nzima

Cheki hapa kutoka Kwa Wode Maya

View: https://youtu.be/3oxwBIq2Cco?si=0b7Z7cMDGr2lV8Pa
 
NIMEISHI ADDIS , NIMESOMA ADDIS 2006 , NIMEKAA MTAA WA DIPLOMASIA NA NAIJUA ADDIS VIZURI . TRUST ME WAETHIOPIA NI MASKINI WA KUTUPA , NI HERI TANZANIA , WACHAFU SANA , MADEMU NI WAZURI NA HAWAOGI , WANAKULA NYAMA MBICHI. NA PIA MAENDELEO NI YA HAPO HAPO MJINI NA UCHUMI WA MUETHIOPIA WA KAWAIDA NI MBAYA. ETHIOPIA NI NCHI AMBAYO HAIKUTAWALIWA SO KILA KITU KIKO OWNED BY THE GVT. NILICHOKIPENDA NI KIMOJA TU , SERIKALI YAO WANABANA MATUMIZI SANA , KULE NI KAWAIDA NA KUONA VIONGOZI WOTE WAKUBWA WANATUMIA SUZUKI, HAHAHA I MEAN MAWAZIRI WANAPANDA SUZUKI. I MISS ADDIS , I MISS BOLE, NIMEMISS MITAA YA AU, UBALOZI WA TZ NA PIA MAMBO MENGI. CHAKULA CHAO CHA INJELAAAAAA ( NIMEIANDIKA KIBONGO )
Nipe Mwanamke wa huko mzee
 
Sasa mbona Magufuli alivyokua anaijenga nchi wapinzani wake alisema yanayotakiwa ni Maendeleo ya watu na siyo Maendeleo ya vitu?
Actually yalikuwa yanalenga kuimprove maisha ya watu for long term in future
Barabara nzuri, maji ya uhakika, umeme wa kutosha, kupunguza foleni kwa kuweka flyover maana yake watu watawahi kwenye shughuli zao kirahisi, hospitali hadi vijijini nk. Project za Magufuli zote zililenga kuimprove maisha ya watu hususani watu wa chini
Labda ajira na kujiajiri, hapo mazingira ndio magumu kwa Tanzania lakini mengine Magufuli amejitahidi sana kwa kiasi chake. Pia ufisadi ulipungua
 
Sasa jiulize kwanini kila siku mamia kwa maelfu ya waEthiopia wanashikwa wanazamia South Africa. Ukipata jibu utajua maghorofa sio kila kitu.
 
2021 when i was back home from beijing after a freaking lockdown . I stayed for a day. Nchi bora nayoipenda Afrika kusema ukweli ni Ethiopia but kuwa dubai si nzuri kusema hivyo. Ethiopia inapitia mengi . Kiuchumi na kila kitu . But its beautiful but watu wake ni maskini na huo uzuri naona hauna tija sana.

Akijua kwanini waethiopia kila siku wanashikwa kwenye malori wanazamia SA ataelewa unachomwambia.
 
nI hapo kati ya Jiji na vitongoji vichache tu
ukienda pembezoni kidogo kuna ufukara wa kutupwa
PM wa sasa Abiy Ahmed anajitahidi lakini bado anakumbana na siasa za ukabila wa Amhara ambao kiasili ndio wakazi wa Addis, Oromo, Tigriya na na makabila ya wasomali na mengineyo madogo
Anapigwa vita sana na kabila lake Oromo waaliomuingiza madarakani kwa kupinga hiyo Master Plan ya Addis kuwa anaijali zaidi Addis wakati kwao Oromia hapajajengwa na walitaka kujitenga ila ameamua kukomaa kujenga taifa moja na wa Tigriya nao walitaka kujitenga au kurudi kwao Eritrea
Wewe unaijuwa vizuri sana Ethipia, siyo hao wengine wanaangalia juu juu tu
 
Sasa jiulize kwanini kila siku mamia kwa maelfu ya waEthiopia wanashikwa wanazamia South Africa. Ukipata jibu utajua maghorofa sio kila kitu.
Ebu fuatilia documentary ya English channel migrant crisis yani watu wanazamia kutoka Ufaransa lwenda Uingereza. Ishu kubwa ni uthubutu wa kwenda kutafuta maisha sehemu nyingine masikini wapo kila mahali duniani.
 
Plan kama hii itasaidia sana Zanzibar ambayo kimsingi ina eneo dogo , maeneo kama Magomeni, Michenzani, Kiembe Samaki,
Ondoa nyumba za chini zote
 
Akijua kwanini waethiopia kila siku wanashikwa kwenye malori wanazamia SA ataelewa unachomwambia.
Inabadilisha nini kwamba Ethiopia inakua kwa kasi??? Unadhani maendeleo ni jambo la siku moja?
Ethiopia inakua kwa kasi, wanaifanya nchi yao kuwa sehemu nzuri ya kuishi. Kwa sasa hawajafanikiwa bado ndio kwanza wanaianza safari yao ya kuwa developed country
Kwa hiyo tulia watu wajenge nchi yao, wananchi wataacha kuikimbia
 
Wewe unaijuwa vizuri sana Ethipia, siyo hao wengine wanaangalia juu juu tu
Ingia YouTube, mamia ya watu wamefika Ethiopia wamejionea na wanaona Ethiopia will never be the same in the next years
Wanasolve matatizo yao sasa, lakini matokeo chanya watayapata mengi in future. Sisi tuendelee kuiponda Ethiopia badala ya kujenga kwetu
Hata kusambaza maji tu tunashindwa, na vyanzo vya maji vipo kama vyote.
Tuna maisha mazuri kidogo kuliko Ethiopia sawa, lakini we are not developing fast enough kama Ethiopia, meaning in future Ethiopians watakuwa na maisha mazuri kuliko sisi
 
Still a probability
Katiba yao inawaruhusu majimbo kujitenga kufuata ukabila
Kwa hiyo wakitokea wa separatist tu Oromo, Tigray , Amhara wanaitenga kila kabila nchi yake kama Eritrea walivyochomoka kwenye muungano baada ya vita
Huyo PM alipambana na wa Tigray 2021-2022 waliotaka kuiteka Addis na kumpindua
Umaskini wa Tz na Ethiopia ni relatively equal ila ukabila unawasumbua kwa hiyo inaweza kusonga mbele kama kutakuwa na equal distribution of wealth and developement projects na viongozi progressive kama yeye
Ingia YouTube, mamia ya watu wamefika Ethiopia wamejionea na wanaona Ethiopia will never be the same in the next years
Wanasolve matatizo yao sasa, lakini matokeo chanya watayapata mengi in future. Sisi tuendelee kuiponda Ethiopia badala ya kujenga kwetu
Hata kusambaza maji tu tunashindwa, na vyanzo vya maji vipo kama vyote.
Tuna maisha mazuri kidogo kuliko Ethiopia sawa, lakini we are not developing fast enough kama Ethiopia, meaning in future Ethiopians watakuwa na maisha mazuri kuliko sisi
 
Ebu fuatilia documentary ya English channel migrant crisis yani watu wanazamia kutoka Ufaransa lwenda Uingereza. Ishu kubwa ni uthubutu wa kwenda kutafuta maisha sehemu nyingine masikini wapo kila mahali duniani.

You mean wafaransa kabisa wanazamia kinyemela UK ila wakafanye odd jobs?

Legal immigration ni jambo la kawaida duniani kote. Hapa tunaongelea waethiopia wanaoshikwa kila siku kwenye malori wakizamia SA. Waethiopia hata wakija bongo hawaondoki. Kama nchi yao imeendelea sana wabaki huko.
 
Inabadilisha nini kwamba Ethiopia inakua kwa kasi??? Unadhani maendeleo ni jambo la siku moja?
Ethiopia inakua kwa kasi, wanaifanya nchi yao kuwa sehemu nzuri ya kuishi. Kwa sasa hawajafanikiwa bado ndio kwanza wanaianza safari yao ya kuwa developed country
Kwa hiyo tulia watu wajenge nchi yao, wananchi wataacha kuikimbia

More power to them. Ukiangalia hata docs za TZ, you'd say the same thing.
 
Ingia YouTube, mamia ya watu wamefika Ethiopia wamejionea na wanaona Ethiopia will never be the same in the next years
Wanasolve matatizo yao sasa, lakini matokeo chanya watayapata mengi in future. Sisi tuendelee kuiponda Ethiopia badala ya kujenga kwetu
Hata kusambaza maji tu tunashindwa, na vyanzo vya maji vipo kama vyote.
Tuna maisha mazuri kidogo kuliko Ethiopia sawa, lakini we are not developing fast enough kama Ethiopia, meaning in future Ethiopians watakuwa na maisha mazuri kuliko sisi
Hapo ndipo unakosea. Unaiangalia Ethiopia kwenye YouTube wakati kuna watu kama Il Padrino anakupa uzoefu wa kuishi na Bufa na mimi tunakupa uzoefu wa kupita Addis Ababa kila wakati.

Hiyo miundombinu unayoisifia ni fedha za mkopo toka China, na kwa taarifa yako Ethiopia ni nchi ya 3 kuwa na deni kubwa kwa China

Screenshot_20251216_155548_Google.jpg
 
Hapo ndipo unakosea. Unaiangalia Ethiopia kwenye YouTube wakati kuna watu kama Il Padrino anakupa uzoefu wa kuishi na Bufa na mimi tunakupa uzoefu wa kupita Addis Ababa kila wakati.

Hiyo miundombinu unayoisifia ni fedha za mkopo toka China, na kwa taarifa yako Ethiopia ni nchi ya 3 kuwa na deni kubwa kwa China

View attachment 3516198
Kwa hiyo ameenda Ethiopia akaprove kuwa hiyo miradi haipo au
 
Back
Top Bottom