kila kitu hatua , leo wanajenga miundo mbinu kesho wawekezaj wakija watavutia vibarua kukimbilia huko kisha mzunguko wa pesa utakuwa vzr
Mzunguko wa pesa hauji kwa kuruhusu pesa ziingie hovyo kweny mzunguko
We jamaa sio kweli kwamba Ethiopia inajenga miundombinu bila kujali wananchi bhana. Kwani viwandani nani nafanya kazi, maji anatumia nani, hospitali kazi yake nini, umeme anatumia nani. Wananchi watafanyaje kazi bila kupata huduma za msingi, huoni Dar watu imebidi waache shughuli zao wakasake maji1995-2000 Sheikh Zayed aliwapakia kwenye ndege vijana na mabinti wa ki Imarati akawajaza vyuo Ivy League i.e. Havard, Yale, Howard etc vya US na Oxford na Cambridge UK
Waliporudi wakaajiriwa serikalini kuondoa wageni, Emiratisation wakaleta transformation iliyopo leo UAE
Wa ethiopia wanakamatwa kwenye malori wanatafuta ukimbizi, na hao wanaokamatwa Tz ni kidogo sana zaidi ya nchi kama Kenya na wanaoelekea upande wa Kaskazini kuelekea nchi za kiarabu na Afrika Magharibi
Unapozungumziq hatua hii ni mojawapo ya investment
Waikaribie kwanza angalau Nairobi hapo kabla ya kuwazia Dubai
Human capital development ni muhimu sana zaidi ya hayo majengo
Hapo kwa sasa raia wanalalamika kuhusu ethnic cleansing, genocide na religious persecution
Unapojemga nchi halafu huwajengi wananchi haiwasaidii
Swall moja kuuWe jamaa sio kweli kwamba Ethiopia inajenga miundombinu bila kujali wananchi bhana. Kwani viwandani nani nafanya kazi, maji anatumia nani, hospitali kazi yake nini, umeme anatumia nani. Wananchi watafanyaje kazi bila kupata huduma za msingi, huoni Dar watu imebidi waache shughuli zao wakasake maji
Hapa Bongo kila kukicha watu wanadai serikali iongeze viwanda. Huko Ethiopia wanajenga viwanda Wabongo tuko busy kuikosoa kwamba inafanya useless things
Mmewekeza nguvu kubwa sana kuiponda Ethiopia na miradi yao hadi mnakera.
Sio kweli kwamba miradi ya Ethiopia haisaidii kuimprove maisha ya watu. Ethiopia yenye watu milioni 100+ ulitaka waanza kufanya nini ambavyo wewe unaona vina maana kuliko viwanda, maji, umeme, affordable housing, ujenzi nk.... Mlitaka wafanye nini?
Bila kusahau Buza kwa MparangeWasalimie Tandale, Manzese, Kigogo, Mburahati na Mbagala.
Ila waswahili bhana kufa usifiwe si ndo huyu huyu magufuli mlokua mkimponda kutwa kucha? Dah ndugu zangu siku moja mtanikumbuka na na najua mtanikumbuka kwa mazuri si kwa mabaya"Sisi toka watuulie Magufuri wetu tumefulia ile mbaya
Hatuna kipya tena kinachofanyika ndani ya taifa letu ni ufisadi na uuzaji wa rasilimali za taifa na hali ngumu kwa vijana na mbaya zaidi mauaji
Mbona wachina nao wanatapakaa duniani kutafuta fursa inamaana nchi Yao ni mbovu ?Swall moja kuu
Kwa hayo yote yanayofanyika, kwanini wananchi wanaikimbia kwa njia zote halali na haramu?
Hayo maendeleo hawayaoni?
Tz miundombinu inajengwa mbona haiko hivyo?
Je, nchi gani nyingine ukiacha zenye vita watu wake wanaikimbia nchi yao kwa rate kama hiyo?
Unamjengea nani huku kuna ethnic cleansing, genocide na religious persecution
Tz si mnalalalamikia utekaji, mauaji etc licha ya hizo hospital mpya, barabara , SGR na ndege
Asa nchi yao si ndo imeanza kujengwa kwa kasi karibuni maana miradi hii mingi mostly imeanza around 6-7 last years, ulitaka nchi ikianza kujengwa haraka tu basi watu wastop ghafla kuikimbia. Ugumu wa maisha bado upo, lakini umuhimu wa hii miradi utaonekana miaka ya mbele, viongozi ndio wanavyofanya. Inabidi waangalie na futureSwall moja kuu
Kwa hayo yote yanayofanyika, kwanini wananchi wanaikimbia kwa njia zote halali na haramu?
Hayo maendeleo hawayaoni?
Tz miundombinu inajengwa mbona haiko hivyo?
Je, nchi gani nyingine ukiacha zenye vita watu wake wanaikimbia nchi yao kwa rate kama hiyo?
Duniani hakuna mtu asiye tafuta fursaMbona wachina nao wanatapakaa duniani kutafuta fursa inamaana nchi Yao ni mbovu ?
Ethiopians, wanakimbia nchi yao. Je, serikali inapaswa kufanya nini ili kuimprove maisha ya watu wake?Duniani hakuna mtu asiye tafuta fursa
Hata mie nilipitiq hatua hiyo
Wanaokamatwa wahamiaji haramu Tz wanatoka nchi gani kwa wingi?
Magereza na mahabusu za Tz wamejaa mpaka yule mama alikuwa Rais wao alikua kuomba msamaha kwa Magufuli Chato unakumbuka?
Wapi kwengine yametokea hayo?
Kama umenisoma vizuri tangu mwanzoni nazungumziaAsa nchi yao si ndo imeanza kujengwa kwa kasi karibuni maana miradi hii mingi mostly imeanza around 6-7 last years, ulitaka nchi ikianza kujengwa haraka tu basi watu wastop ghafla kuikimbia. Ugumu wa maisha bado upo, lakini umuhimu wa hii miradi utaonekana miaka ya mbele, viongozi ndio wanavyofanya. Inabidi waangalie na future
Mi sioni ubaya ndo maana nakuuliza wewe, ulitaka Ethiopia waanzishe miradi gani unayoona wewe ni sahihi. Wewe si unaijua Ethiopia vizuri? Miradi gani inaifaa nchi kama Ethiopia?
Kukumbwa na ukame sio kosa lao hiyo ni natural calamity.Moja ya nchi maskini sana Afrika licha ya utajiri wa madini kwa sababu ya siasa mbovu kuanzia enzi za Haille Selassie, mpaka Haile Mariam na utawala wa kijeshi na ilikumbwa na ukame mkubwa wa chakula mpaka wanamuziki wa US na UK kina Bob Geldof wakaimba kuichangia fedha za kununua chakula cha msaada
Raia wake na wa Eritrea ndio wanaongoza kuikimbia nchi yao Afrika
Ni nchi ya pili au ya tatu kwa idadi ya watu Afrika
Tanzania wahamiaji wengi haramu wanatoka huko wakikimbia nchi yao
Sawa sawa, nimekuelewaKama umenisoma vizuri tangu mwanzoni nazungumzia
Human Capital Development na Investment na mifano nimekupa
Hata nyumbani kwako hata kama una ghorofa hakuna upendo ndani ya nyumba itaitwa A HOUSE but not A HOME!
You can live in a house that doesn’t feel like home, and you can feel at home even without owning a house
Sasa huo ni ubishi au ina maana huelewiSawa sawa, nimekuelewa
Nitajie miradi bora inayofaa kwa wananchi wa Ethiopia kuliko hii ya Bwana Abiy Ahmed
GDP ya nchi kwa Ethiopia ni kubwa kuliko Tz lakini per capita kwa kila mtu kwa wananchi ni ndogo zaidi ya wa TZKukumbwa na ukame sio kosa lao hiyo ni natural calamity.
Sasa kama nchi haina rasilimali na ina ukame lakini kwenye rank ya GDP inatuzidi sisi Tanzania wenye rasilimali za kila aina huoni kwamba hao watu wako smart sana ila sisi ndio kichwa cha mwendawazimu.
Kwa kifupi nchi ya Ethiopia na Rwanda viongozi wao wako smart sana na strategic tuwape kongole.
Mfuate huyo magufuri wakoSisi toka watuulie Magufuri wetu tumefulia ile mbaya
Hatuna kipya tena kinachofanyika ndani ya taifa letu ni ufisadi na uuzaji wa rasilimali za taifa na hali ngumu kwa vijana na mbaya zaidi mauaji
Ukisikiliza story za watu bhana unaweza FIKRI unaishi shimoni , ila fika sasa kunakosifiwa 😁 sema nchi yetu ilifeli kwenye kupangilia mji , ujenzi holela ni changamoto Sana na hii inafanya hata ujenzi wa muundo mbinu uwe ngumu na GharamaShida utembei hata ulipo hapo ujawahi kufika wilaya nyengine.
Nakueleza nimeshafika huko Ethiopia uzuri wa mji sio uzuri wa wananchi wake.
kila siku si wanakamatwa wakikimbilia south frica.
Unaona sasa. Acha kucriticize miradi ya Abiy kama hata wewe hujui miradi sahihi inayofaa Ethiopia ni ipiSasa huo ni ubishi au ina maana huelewi
I am a paid consultant. not free lancer
Kumbuka hii thread haijasema Ethiopia ni nchi tajiri, ila inasema Ethiopia inakua kwa kasiUkisikiliza story za watu bhana unaweza FIKRI unaishi shimoni , ila fika sasa kunakosifiwa