Ila kuanzia thread inaanza hakuna aliyebisha kuwa Ethiopians wanakimbia nchi yao. Watu wanasifia kuwa nchi yao inakuwa kwa kasiWachina hawapakiwi kwenye malori wakifichwa nyuma ya maembe. Lini umeona wamekufa kwa kukosa hewa na joto kwenye lori?
Wachina wanakuja na mitaji kuwekeza au kuiba rasilimali. Hawaji na kandambili kuwa vinyozi kama Waethiopia wanavyokimbilia South Africa.
WTF?Unaona sasa. Acha kucriticize miradi ya Abiy kama hata wewe hujui miradi sahihi inayofaa Ethiopia ni ipi
Ni kweli unaijua Ethiopia lakini hata Abiy Ahmed aliyeanzisha hiyo miradi anaijua Ethiopia pia
Yani unaponda unasema anachofanya sio sahihi kumbe hata wewe hujui kipi sahihi? WTF
Abiy Ahmed hajamuuliza jirani yake tatizo ni nini, anaijua nchi yake vizuri na jinsi ya kusolve hayo matatizoWTF?
Jenga nyumba yako nzuri sana na kubwa kama White House halafu mke na watoto waikimbie wakakae kwenye malori kama nyanya usubiri majirani wakueleze tatizo ni nini
Soma tangu mwanzo nilipoanza ku comment in between the lines utaona nini nazungumziaAbiy Ahmed hajamuuliza jirani yake tatizo ni nini, anaijua nchi yake vizuri na jinsi ya kusolve hayo matatizo
Mimi ndio ninayekuuliza wewe ambaye unasema Ethiopia inakosea kujenga viwanda na miundombinu yote hiyo, inapaswa wafanye nini?
Au ndo unakosoa tu halafu hata wewe hujui kitu sahihi ni kipi?
Umekimbia hoja. Wewe ndio una uelewa mdogo tena finyu sanaSoma tangu mwanzo nilipoanza ku comment in between the lines utaona nini nazungumzia
Inaoenaka aidha uelewa wako ni mdogo au unapenda/kutaka kubisha tu
Hoja ziko wazi, mifano na facts on the ground zaidi ya hiyo you tube clip ya paid influencer
Nenda kwenye tweet ya huyo jamaa na hiyo clip halafu angalia comments za wenye nchi wenyewe
Kama huelewi hapo sasa kwenye halmashauri ya ubongo wako sina nafasi ya kukuelewesha zaidi
This is logical fallacy that we call "ad hominem" especially "ad hominem circumstantial" or “ad hominem abusive"Umekimbia hoja. Wewe ndio una uelewa mdogo tena finyu sana
Unajua kukosoa na huna mawazo yako mwenyewe. Low IQ and poor quality arguments 🚮
Naona unaanza kumuiga Kiranga, kudefine logical fallacy katikati ya arguments 😄😄This is logical fallacy that we call "ad hominem" especially "ad hominem circumstantial" or “ad hominem abusive"
Attacking personality rather than a topic or subject in discussion
Normally less intelligent people use this to win arguments
Stop the hate, dont hate the player
Hate the game
Ilitakiwa tuwazidi vyote kwa rasilimali tulizonazoGDP ya nchi kwa Ethiopia ni kubwa kuliko Tz lakini per capita kwa kila mtu kwa wananchi ni ndogo zaidi ya wa TZ