Adebayor: Watanzania mpo tayari?

Adebayor: Watanzania mpo tayari?

HPAUL

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2011
Posts
410
Reaction score
567
Tayari Adebayor amepost instagram akiwauliza watanzania kama wapo tayari, Je ni timu gani imekaribia kumnasa huyu striker. Na siku 3 zilizopita alipost akifanya online conference na Mo.
 
Hakuna anayetaka kuchukiwa ,ukipendwa pendeka , ndicho anachokifanya kijana Victorien
 
Taifa la ovyo Sana hili mnaenda kuwatafuta wachezaji kutoka huko Kuja kuchukua peza zetu Happ ndani Ni Bora nikoze ubingwa huo lkn siwezi kukubali wachezaji wageni kuwa wengi kiasi hiki alfu wa wakawaida Sana huku tumewacha wachezaji wa ndani na mishahara ya laki Saba hi siyo sawa keanya Uganda rwanda na hata misri Hakuna upumbafu huu Kama wa kwetu

Mtu unamchukuwa morison au chama alambe mishara was milion 15 had 230 milion za uhamissho siyo sawa hiki
 
kama masuala ya mpira yamekupita kushoto si utulie tu mjomba?
 
Taifa la ovyo Sana hili mnaenda kuwatafuta wachezaji kutoka huko Kuja kuchukua peza zetu Happ ndani Ni Bora nikoze ubingwa huo lkn siwezi kukubali wachezaji wageni kuwa wengi kiasi hiki alfu wa wakawaida Sana huku tumewacha wachezaji wa ndani na mishahara ya laki Saba hi siyo sawa keanya Uganda rwanda na hata misri Hakuna upumbafu huu Kama wa kwetu

Mtu unamchukuwa morison au chama alambe mishara was milion 15 had 230 milion za uhamissho siyo sawa hiki
Wachezaji wa ndani waache ujinga wa uyanga na simba.

Unatumikia timu kwa gharama kubwa halafu unaleta uyanga na usimba badala ya kupigania taaluma yako.Ndio upumbavu walio nao wachezaji wetu
 
Hivi hapa bongo una mtu kama mayele, vipi inonga? Mna chama? Kwenye usajili kuptia na kukosea kumo. Wachezaji wenye kiwango kikubwa(kwenda nao kucheza popote) ndani ni wachache mnoo, kina tshabalala, fei toto na wenzao, sio hao kina mzamiru.

Waingereza wenyewe wanachukua wwachezaji nje. Ligi imeng'arishwa na wageni
Spain hivyo hivyo wa udogo.
 
Kesho si ndo Taifa stars wanachezao nao?
 
Wachezaji wa ndani waache ujinga wa uyanga na simba.

Unatumikia timu kwa gharama kubwa halafu unaleta uyanga na usimba badala ya kupigania taaluma yako.Ndio upumbavu walio nao wachezaji wetu
Kama dogo fey anapenda uyanga sana ndo unamkwamisha muda si mrefu ataanza kulialia kama Ngasa
 
Back
Top Bottom