Adebayor: Watanzania mpo tayari?

Adebayor: Watanzania mpo tayari?

Taifa la ovyo Sana hili mnaenda kuwatafuta wachezaji kutoka huko Kuja kuchukua peza zetu Happ ndani Ni Bora nikoze ubingwa huo lkn siwezi kukubali wachezaji wageni kuwa wengi kiasi hiki alfu wa wakawaida Sana huku tumewacha wachezaji wa ndani na mishahara ya laki Saba hi siyo sawa keanya Uganda rwanda na hata misri Hakuna upumbafu huu Kama wa kwetu

Mtu unamchukuwa morison au chama alambe mishara was milion 15 had 230 milion za uhamissho siyo sawa hiki
Kwa muandiko wako huu naelewa ni kwanini unawachukia wageni.... Hata walimu ulikuwa unawachukia sana shuleni
 
Taifa la ovyo Sana hili mnaenda kuwatafuta wachezaji kutoka huko Kuja kuchukua peza zetu Happ ndani Ni Bora nikoze ubingwa huo lkn siwezi kukubali wachezaji wageni kuwa wengi kiasi hiki alfu wa wakawaida Sana huku tumewacha wachezaji wa ndani na mishahara ya laki Saba hi siyo sawa keanya Uganda rwanda na hata misri Hakuna upumbafu huu Kama wa kwetu

Mtu unamchukuwa morison au chama alambe mishara was milion 15 had 230 milion za uhamissho siyo sawa hiki
Na wao waache usengelema wao,waende nje wakatafute mishahara mikubwa.
 
nafikir anazungumzia mechi ya kesho na taifa stars .siyo m niger kweli yule?au ni mtogo?si kuna niger vs taifa stars?
 
Tayari Adebayor amepost instagram akiwauliza watanzania kama wapo tayari, Je ni timu gani imekaribia kumnasa huyu striker. Na siku 3 zilizopita alipost akifanya online conference na Mo.
Kweli ila inasemekana walishindwana na mo
 
Taifa stars wakivaa mijezi yao ya Njano, mimi itabidi nishangilie Niger kwa mkopo ( Adebayo - ulipo tupo)
 
Sas unakuta wale wote wanaojifanya wanatamba ktk ligi yetu Hakuna hata mmoja amwitwa timu ya taiafa lao siyo wa simba Wala yanga
 
Back
Top Bottom