Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 6,941
- 7,808
Nazishauri Simba na Yanga wasikurupuke kusajili wachezaji wa kigeni wale wanaotajwa na Wahandishi wetu wa habari sababu wengi wao ni wachezaji wa kawaida sana kama huyo Adebayor, Moses Phiri.Jamaa wa kawaida sana