Adebayor: Watanzania mpo tayari?

Kwa muandiko wako huu naelewa ni kwanini unawachukia wageni.... Hata walimu ulikuwa unawachukia sana shuleni
 
Na wao waache usengelema wao,waende nje wakatafute mishahara mikubwa.
 
nafikir anazungumzia mechi ya kesho na taifa stars .siyo m niger kweli yule?au ni mtogo?si kuna niger vs taifa stars?
 
Tayari Adebayor amepost instagram akiwauliza watanzania kama wapo tayari, Je ni timu gani imekaribia kumnasa huyu striker. Na siku 3 zilizopita alipost akifanya online conference na Mo.
Kweli ila inasemekana walishindwana na mo
 
Taifa stars wakivaa mijezi yao ya Njano, mimi itabidi nishangilie Niger kwa mkopo ( Adebayo - ulipo tupo)
 
Tayari Adebayor amepost instagram akiwauliza watanzania kama wapo tayari, Je ni timu gani imekaribia kumnasa huyu striker. Na siku 3 zilizopita alipost akifanya online conference na Mo.

Anajikomba SSC
 
Sas unakuta wale wote wanaojifanya wanatamba ktk ligi yetu Hakuna hata mmoja amwitwa timu ya taiafa lao siyo wa simba Wala yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…