Kitimoto JF-Expert Member Joined Aug 25, 2012 Posts 6,941 Reaction score 7,808 Jun 5, 2022 #41 Gide MK said: Jamaa wa kawaida sana Click to expand... Nazishauri Simba na Yanga wasikurupuke kusajili wachezaji wa kigeni wale wanaotajwa na Wahandishi wetu wa habari sababu wengi wao ni wachezaji wa kawaida sana kama huyo Adebayor, Moses Phiri.
Gide MK said: Jamaa wa kawaida sana Click to expand... Nazishauri Simba na Yanga wasikurupuke kusajili wachezaji wa kigeni wale wanaotajwa na Wahandishi wetu wa habari sababu wengi wao ni wachezaji wa kawaida sana kama huyo Adebayor, Moses Phiri.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jun 5, 2022 #42 Mambo yao waachie wenyewe, kwanza wamebusiana wanaume kwa wanaume...
gigabyte JF-Expert Member Joined May 27, 2015 Posts 5,717 Reaction score 6,465 Jun 5, 2022 #43 goroko77 said: Sas unakuta wale wote wanaojifanya wanatamba ktk ligi yetu Hakuna hata mmoja amwitwa timu ya taiafa lao siyo wa simba Wala yanga Click to expand... Hao hao ndo size yetu kulingana na ligi yetu ilivyo.
goroko77 said: Sas unakuta wale wote wanaojifanya wanatamba ktk ligi yetu Hakuna hata mmoja amwitwa timu ya taiafa lao siyo wa simba Wala yanga Click to expand... Hao hao ndo size yetu kulingana na ligi yetu ilivyo.
gigabyte JF-Expert Member Joined May 27, 2015 Posts 5,717 Reaction score 6,465 Jun 5, 2022 #44 Kitimoto said: Hapo hakuna mchezaji, nimemwangalia leo hakuna kitu Click to expand... Ulitaka achezeje labda ndo ujue ni mzuri?
Kitimoto said: Hapo hakuna mchezaji, nimemwangalia leo hakuna kitu Click to expand... Ulitaka achezeje labda ndo ujue ni mzuri?