TANZIA Aden Mwamunyange afariki dunia

TANZIA Aden Mwamunyange afariki dunia

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Aliyekuwa msemaji wa jeshi la Polisi ndugu Aden Mwamunyange amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Mwamunyange ambaye ni Kaka wa Davis Mwamunyange aliyekuwa CDF.

Mungu ailaze mahali pema roho ya marehemu

1598121182744.png
 
Aden Mwamunyange, umenikumbusha enzi za lile Jeshi la Polisi la Kijambazi. Jeshi la Polisi linapitia nyakati ngumu zenye sura nyingi za ajabu.

Kutoka Ujambazi hadi sasa hivi walipoamua kuliweka chini ya Green Guard upande mmoja na upande mwingine kama moja ya Jumuiya ndani ya Chama.
 
Aden Mwamunyange umenikumbusha enzi za Jlile Jeshi la Polisi la Kijambazi. Jeshi la Polisi linapitia nyakati ngumu yenye sura nyingi za ajabu.
Kutoka Ujambazi hadi sasa hivi walipoamua kuliweka chini ya Green Guard.
Huku Kuna Mahita, kule kuna mmiliki wa mabasi ya Buffalo.
Nchi hi sinema zisizo na ukomo
 
Back
Top Bottom