TANZIA Aden Mwamunyange afariki dunia

TANZIA Aden Mwamunyange afariki dunia

Apumzike Kwa Amani Kazi Ya Mungu Haina Makosa
 
Aden Mwamunyange, umenikumbusha enzi za lile Jeshi la Polisi la Kijambazi. Jeshi la Polisi linapitia nyakati ngumu zenye sura nyingi za ajabu.

Kutoka Ujambazi hadi sasa hivi walipoamua kuliweka chini ya Green Guard upande mmoja na upande mwingine kama moja ya Jumuiya ndani ya Chama.
Ahahhahh
 
Aliyekuwa msemaji wa jeshi la Polisi ndugu Aden Mwamunyange amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Mwamunyange ambaye ni Kaka wa Davis Mwamunyange aliyekuwa CDF.

Mungu ailaze mahali pema roho ya marehemu
Pole sana familia na kijana wake B. Sijui kama bado yupo US. Pole sana kwa wafiwa.
 
Apumzike kwa amani. Pole nyingi kwa familia yake, mama yake mzazi pamoja na wadogo zake.
 
Back
Top Bottom