TANZIA Aden Mwamunyange afariki dunia

TANZIA Aden Mwamunyange afariki dunia

Yeah mama ni MTU wa watu sana
Rip Aden,..msalimie rafiki yangu Muungano a.k.a Professor Saitoti.
Atazikwa na watu wa kutosha, kule kijijini kwao Ngonga mama yake ni mtu poa sana, anahudhuria misaba ya wengine hivyo wanyakyusa hawawezi kumtupa.
 
Atazikwa na watu wa kutosha, kule kijijini kwao Ngonga mama yake ni mtu poa sana, anahudhuria misaba ya wengine hivyo wanyakyusa hawawezi kumtupa.
Siku zote nilidhani ni wa asili ya kisomali pamoja na akina Bashe
 
Nakumbuka nilibahatika kukutana nao kwenye event moja Arusha miaka kadhaa nyuma nikiwa na Dingi wangu mmoja hivi, ni Watu wacheshi sana na Wasiojisikia hawa 'Mwamunyanges' pamoja na kwamba wote kwa wakati huo walikuwa kwenye nyadhfa kubwa.

Pumziko La Amani apate Mwendazake.
 
Nilitoa macho nikajua ni yule na macho yake ya kurembua,

Okay let him rest easy
 
Aliyekuwa msemaji wa jeshi la Polisi ndugu Aden Mwamunyange amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Mwamunyange ambaye ni Kaka wa Davis Mwamunyange aliyekuwa CDF.

Mungu ailaze mahali pema roho ya marehemu
Alikuwa anapenda sana kukaa pale Buguruni Rozana bar ukienda unamkuta meza yake kazungusha bia kila kiti mradi tu akae mwenyewe. Mungu amlipe kwa kadri ya alichovuna akiwa hai.
 
Miaka ya 2000 tulikua nae sana pale Malta Buguruni. Pamoja na vurugu za Buguruni lkn Malta ilikua Ni amani na utulivu. Meza yake ilikua ndani mkabala na kaunta.
Mwalimu mkuu mmoja ni shabiki mkubwa wa mpira akisimama msitarini asubuhi hadi kwanza ataniane na wanafunzi kuhusu mechi za jana.Shule yake daima ndiyo inayoshika mkia.Na askari anayeshinda kunywa pombe na wahalifu hawezi kumkamata jambazi.
 
Back
Top Bottom