TANZIA Aden Mwamunyange afariki dunia

Apumzike Kwa Amani Kazi Ya Mungu Haina Makosa
 
Ahahhahh
 
Aliyekuwa msemaji wa jeshi la Polisi ndugu Aden Mwamunyange amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Mwamunyange ambaye ni Kaka wa Davis Mwamunyange aliyekuwa CDF.

Mungu ailaze mahali pema roho ya marehemu
Pole sana familia na kijana wake B. Sijui kama bado yupo US. Pole sana kwa wafiwa.
 
Apumzike kwa amani. Pole nyingi kwa familia yake, mama yake mzazi pamoja na wadogo zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…