Adha hii itaisha lini!


Hapa mbavu zinauma ... nilikuwa nasubiria kuona ukiweka jina la Mramba au Kikwete baada ya usemi huo (maana wao ndio wanatoa(ga) majibu ya hivi).
 
Adha hii imeanza baada ya jamaa wa mikoani kukimbilia bongo... Bongo imejaa!

Sio kweli. Shule niliyosoma hakuna darasa lililokua na zaidi ya madawati 10, ina maana kabla wamikoani kuja Dar darasa lilikua linabeba wanafunzi wangapi?
 
Imenikumbusha mbaaali sana huko songea vijijini mwanafunzi anakwenda shule kavaa kaniki!
 
Wasipo chafuka watajifunzaje?waache wazoee shida ili watakapo kuwa walipize kisasi kwakulifisadi taifa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…