Mie naona yote sawa tu. Acha wakae. Sidhani kama baba na mama zao wanajali sana matatizo ya watoto wao. Uchaguzi ukija, wanavuta T-shirt na kuchagua viongozi ambao watawaweka watoto wao chini.
Yes, narudia tena "WACHA WAKAE saaana tu hadi waote hapo ardhini."
Ningelikuwa mgombea wa Urais ningeliwaambia hivyo hivyo. Wakitema wakimeza shauri yao.
Hapa mbavu zinauma ... nilikuwa nasubiria kuona ukiweka jina la Mramba au Kikwete baada ya usemi huo (maana wao ndio wanatoa(ga) majibu ya hivi).