Adhabu kali zilizowahi kutolewa duniani

Adhabu kali zilizowahi kutolewa duniani

Da kweli hayo ni mateso....kunyweshwa dhahabu iliyoyeyushwa!
 
ACHA UZWAZAZWA, KUGONGELEWA MISUMARI NA KUCHAPWA MIJELEDI sijui fimbo NAYO NI ADHABU? stori ya yesu ni ya watoto. ADHABU NDO KAMA HIZO ZA MTOA MADA.
Kifo cha msalaba kilikuwa ni moja ya kifo kbaya na chakikatili zaidi kilicho kuwa kinatolewa kwa watu wenye makosa makubwa yenye kustahili kifo kwenye baadhib ya majimbo ya roman empire, haikuwa tu mtu kuchapwa fimbo,ila kabla ya kutundikwa ulichapwa kwanza mijeledi yenye vipande vya vyuma kama visu ambapo huondoa vya nyama kila ulipo tua mwili.kiujumla kila mahala kulikuwa kunadhabu kulingana na makosa mfano Leo nchi zina nyonga USA badhi ya majmbo wanachoma sindano ya sumu,na uarabun wana kupga mawe hadi ufe.
 
Adhabu hizi tunatakiwa sisi raia tuwachenjia hawa watawala wafanyao mambo kinyume cha katiba ili iwe fundisho kwa wengine.
Nalog off
 
Back
Top Bottom