Camp Gilgal
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,453
- 4,592
point mkuuTFF wanaendesha Maisha yao kupitia hao simba, hawana jeuri ya kuban washabiki hata wangevunja viti vya uwanja mzima,
Uharibifu wa namna hii alitakiwa kulipa refa mwenyewe na tiefuefu wenyewe
Nyi mnanao Wa kwenu so rift tu kama SIMBA...Nashaur simba wakatafute wanja wao wakachezee mechi zao
Coz hapo taifa wamepewa lifti tuu sasa wanapiga had hod
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama vipi na Martin Saanya apewe tuzo kama Jecha,si ndiyo utamaduni wetu wa kutoa tuzo kwa watu wanaobolonga mambo?Naiomba serikali yetu ya BOMBADIA iiagize TFF impe tuzo Saanya kama ilivyoiagiza Serikali ya ZNZ kumpa tuzo Jecha.
Japo kuwa refa na rise man wake waliboronga jana,
refa msaidizi anaitwa Linesman! sio rise man
Wewe utakuwa mshangiliaji wa simba ila wewe sio shabiki wa simba na huo upimbi wakoMm ni shabiki wa mnyama Simba ila kile kitendo cha kung'oa viti sijakipenda. Sio ustaarabu kabisa,mambo yaliyotokea jana na refa kuruhusu goli la Yanga ni kawaida tu ktk michezo. Sijui sheria zinasemaje tukio km hilo likitokea. Tuwasubiri TFF
Walisamehewa kivipi???Hata tukipigwa faini ila ujumbe umefika uliona baada ya hapo refa alianza kuchezesha fair. na si hivyo tu mbona yanga walisamehewa au adhabu ni kwa SIMBA tu.
Hahaaaaaa mkuu unaonekana bado una hasira. Kwa hiyo wewe unaona sawa mashabiki walichofanya??Wewe utakuwa mshangiliaji wa simba ila wewe sio shabiki wa simba na huo upimbi wako
Maradona alifunga na nini na Thierry Henry je? Tena wao kwenye Timu za Taifa sembuse hapo kwenye ligi.Ndo maana mnafunga magoli ya hand-footbal
Acheni uchochezi.unataka kusema ni mashabiki wa simba peke yako ndio waliivunja viti?mashabiki wa pande zote walihusika kwa namna moja au nyingne na uharibifu uliotokea hvyo tff ni bora kama adhabu watie kwa timu zote tu na sio simba peke yao.unaonekana una hasira na simba has a baada ya kurudisha baoNashauri ingekuwa hiviiii!!
Kwa kitendo cha Washabiki wa Simba kuharibu viti uwanja wa taifa ilihali havikuwa na uhusiano wowote na tukio lililotokea uwanjani, TFF wangewapiga fine Simba ya fedha tasilimu,pamoja na kuwapa adhabu ya kucheza michezo mitano au zaidi bila ya washabiki wao. Hivi vitendo vikifumbiwa macho na kutolewa vi fine uchwara hvi kuna siku atakufa mtu uwanjani!