Adhabu kwa Simba

Adhabu kwa Simba

Huyo refa angefanya upuuzi kama huo huko MISRI au AMERIKA YA KUSINI aone mziki wake..!
 
Nashaur simba wakatafute wanja wao wakachezee mechi zao
Coz hapo taifa wamepewa lifti tuu sasa wanapiga had hod
 
Hata tukipigwa faini ila ujumbe umefika uliona baada ya hapo refa alianza kuchezesha fair. na si hivyo tu mbona yanga walisamehewa au adhabu ni kwa SIMBA tu.
 
TFF wanaendesha Maisha yao kupitia hao simba, hawana jeuri ya kuban washabiki hata wangevunja viti vya uwanja mzima,
Uharibifu wa namna hii alitakiwa kulipa refa mwenyewe na tiefuefu wenyewe
point mkuu
 
Kama vipi na Martin Saanya apewe tuzo kama Jecha,si ndiyo utamaduni wetu wa kutoa tuzo kwa watu wanaobolonga mambo?Naiomba serikali yetu ya BOMBADIA iiagize TFF impe tuzo Saanya kama ilivyoiagiza Serikali ya ZNZ kumpa tuzo Jecha.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sheria itafuata mkondo wake Mitanzana bwana haipendi vitu vizuri kabisa sipati Picha hizi timu zingekuwa na Viwanja vyao inaonekana wangekuwa wanafanyiana makusudi kuaribiana Viwanja....Mbona mashabiki wa MAN U walikubali yaishe hawakupaniki walivyopigwa zile 2. Shabiki yoyote wa soka anajua mpira ni mchezo wa makosa kwa hiyo mambo km yale lazima yatokee kikubwa ni kuwa wapole tu na kuvuta subra.
Ile Mechi ilikuwa yetu wa Msimbazi Mkude naye katukost kupanic bila sababu za msingi ....
 
Mechi ya jana mwenyeji alikua yanga, utasemaje simba waliomba kuutumia uwanja wa taifa?
 
Mm ni shabiki wa mnyama Simba ila kile kitendo cha kung'oa viti sijakipenda. Sio ustaarabu kabisa,mambo yaliyotokea jana na refa kuruhusu goli la Yanga ni kawaida tu ktk michezo. Sijui sheria zinasemaje tukio km hilo likitokea. Tuwasubiri TFF
Wewe utakuwa mshangiliaji wa simba ila wewe sio shabiki wa simba na huo upimbi wako
 
Na geti lililovunjwa na mashabiki! Nani wa kulaumiwa? Wadau walilalamikia mapema utaratibu wa kielectronic wa kuingia uwanjani" tff ni jipu"
 
Ndo maana mnafunga magoli ya hand-footbal
Maradona alifunga na nini na Thierry Henry je? Tena wao kwenye Timu za Taifa sembuse hapo kwenye ligi.
[HASHTAG]#sio[/HASHTAG] simba wala yanga mimi.
 
Nashauri ingekuwa hiviiii!!

Kwa kitendo cha Washabiki wa Simba kuharibu viti uwanja wa taifa ilihali havikuwa na uhusiano wowote na tukio lililotokea uwanjani, TFF wangewapiga fine Simba ya fedha tasilimu,pamoja na kuwapa adhabu ya kucheza michezo mitano au zaidi bila ya washabiki wao. Hivi vitendo vikifumbiwa macho na kutolewa vi fine uchwara hvi kuna siku atakufa mtu uwanjani!
Acheni uchochezi.unataka kusema ni mashabiki wa simba peke yako ndio waliivunja viti?mashabiki wa pande zote walihusika kwa namna moja au nyingne na uharibifu uliotokea hvyo tff ni bora kama adhabu watie kwa timu zote tu na sio simba peke yao.unaonekana una hasira na simba has a baada ya kurudisha bao
 
Naunga mkono hoja ya kupigwa faini na kuzuiwa kuingia mechi kadhaa
 
Back
Top Bottom