Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Eti jamaani. Uchafu tu kaka huo.Anatafuta pesa mpaka anasahau kuoga!
Sababu sio mwanaume peke yake anayetafuta pesa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti jamaani. Uchafu tu kaka huo.Anatafuta pesa mpaka anasahau kuoga!
Hahaaa. Magumu yapi rafiki?Wanaume wa Kenya wanapitia magumu sana tuwaombee
Hahaha, ila wanawake wa Kenya ni mabaunza sana alafu wana sura ngumuWapeni mbinu jirani zetu jinsi ya kuishi na ladies. Naona kabisa hapa kama angelazimisha kuingia ndani basi angetolewa meno ya sebuleni
Unachokisema ni sahihi dada!Eti jamaani. Uchafu tu kaka huo.
Sababu sio mwanaume peke yake anayetafuta pesa.
Hahaaa. Lol.Hahaha hahaha hahaha kama mm wala sigombani nae nkawapa watu faida namhamishia chumba chengine tuuu huko akioga asipooga shauri ake
Ndio hapo Kaka sababu kile kitendo cha kuwa na Mke tu ni dhahiri kwamba amekomaa kiakili.Unachokisema ni sahihi dada!
Tena ukiwa umeoa,unawezaje kukaa bila kuoga!
😂😂😂😂Mwanamke kauzu kweli kweli.
Sipati picha kama jamaa asingekuwa mtafutaji angepata adhabu gani!
Gumu analopitia huyo mwanaume wa Kenya ni kwenda kutamkiwa hadharani na mke wake kwamba haogagiHahaaa. Magumu yapi rafiki?
Mchafu tu huyo kijana.
Unamhimiza, bado hataki. Na wewe ndo uonae kero ya kulala na "mchafukuoga". Ndo hapo pa kumgeuza mtoto na kumwogesha. Tena kwa kumbembeleza maana ukifanya kiubabe ataona kama unamwadhibu. Ila najiuliza, mume alikuwa hivyo kabla hajaoa? Au amebadilika baada ya kuoa? Vyovyote iwavyo, mke ndo amefuga uchafuPart gani jamaaani Mumy, Kwani mtoto mdogo huyo?
Vipo vya sisi kuwahimiza ila si kuoga.
Hahaaa. Itakuwa huyo mwanamke ndio kaona njia sahihi hiyo ya kumpa kweli yake ili abadilike.Gumu analopitia huyo mwanaume wa Kenya ni kwenda kutamkiwa hadharani na mke wake kwamba haogagi
Huo ni utovu wa nidhamu!Hahaaa. Itakuwa huyo mwanamke ndio kaona njia sahihi hiyo ya kumpa kweli yake ili abadilike.
Unamhimiza, bado hataki. Na wewe ndo uonae kero ya kulala na "mchafukuoga". Ndo hapo pa kumgeuza mtoto na kumwogesha. Tena kwa kumbembeleza maana ukifanya kiubabe ataona kama unamwadhibu. Ila najiuliza, mume alikuwa hivyo kabla hajaoa? Au amebadilika baada ya kuoa? Vyovyote iwavyo, mke ndo amefuga uchafu
Sasa iwe mwisho vipi rafiki wakati mume wake hauogi?Huo ni utovu wa nidhamu!
Kama ni mimi hiyo ndoa itakuwa mwisho
Kuna sehemu ya kwenda kulalamika sio kijiweni tena cha toyoSasa iwe mwisho vipi rafiki wakati mume wake hauogi?
Kweli kabisaNi akili za kitoto kumjadili mtu kwamba ananuka badala ya kumsaidia.
Bado najiuliza, wakati wa dating zao mwanaume alikuwa katika hali ipi ya usafi? Siku za mwanzo za wao kuishi pamoja alikuwaje? Maana ile ndo ilikuwa fursa pekee ya kumshape mume wake. Hata hicho kilichowaunganisha sijui wanakitendaje katika hali kama hiyo. Mi angeoga aiseeIla waeza kuta mwanamke alishachoka kuhimiza huku mtu si wa kubadilika akaona hiyo ndio njia sahihi labda.
Pia sitaki kuamini kama mke ndio amefuga uchafu kwa kweli maana angekuwa ameufuga angeendelea kumvumilia kwa kuona ni sawa tu.
Unaonekana una hasira Kali!Huo ni utovu wa nidhamu!
Kama ni mimi hiyo ndoa itakuwa mwisho
Sio hasira mpendwa, wewe fikiria unaweza kumfokea mumeo kwa jambo kama hilo kwenye ofisi yake akiwa na washkaji zake?Unaonekana una hasira Kali!