Adhabu niliyowahi kupewa na mapadre wa katoliki

Adhabu niliyowahi kupewa na mapadre wa katoliki

Nami nimesoma seminari,ulisoma seminari gani.
Seminari maana yake ni Shule watu wanaandaliwa kuwa mapadre
Seminari inatokana na neno la kilatin "seminarium" lenye maana ya "mbegu" ama "kitalu" cha miito.

Halafu hizi minor seminaries zinatoa elimu ya kawaida na malezi yenye ubora wa hali ya juu.

Wewe kama hauamini uwepo wa watu wa dini nyingine shauri yako. Hilo ni juu yako. Ila ukweli ndio huo.

I am out.
 
Back
Top Bottom