mdukuzi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 20,925 Reaction score 51,688 Aug 28, 2024 #21 Sang'udi said: Nimesoma seminari. Amini nikuambiacho. Click to expand... Nami nimesoma seminari,ulisoma seminari gani. Seminari watu wanaandaliwa kuwa mapadre
Sang'udi said: Nimesoma seminari. Amini nikuambiacho. Click to expand... Nami nimesoma seminari,ulisoma seminari gani. Seminari watu wanaandaliwa kuwa mapadre
Sang'udi JF-Expert Member Joined May 16, 2016 Posts 9,138 Reaction score 22,236 Aug 28, 2024 #22 mdukuzi said: Nami nimesoma seminari,ulisoma seminari gani. Seminari maana yake ni Shule watu wanaandaliwa kuwa mapadre Click to expand... Seminari inatokana na neno la kilatin "seminarium" lenye maana ya "mbegu" ama "kitalu" cha miito. Halafu hizi minor seminaries zinatoa elimu ya kawaida na malezi yenye ubora wa hali ya juu. Wewe kama hauamini uwepo wa watu wa dini nyingine shauri yako. Hilo ni juu yako. Ila ukweli ndio huo. I am out.
mdukuzi said: Nami nimesoma seminari,ulisoma seminari gani. Seminari maana yake ni Shule watu wanaandaliwa kuwa mapadre Click to expand... Seminari inatokana na neno la kilatin "seminarium" lenye maana ya "mbegu" ama "kitalu" cha miito. Halafu hizi minor seminaries zinatoa elimu ya kawaida na malezi yenye ubora wa hali ya juu. Wewe kama hauamini uwepo wa watu wa dini nyingine shauri yako. Hilo ni juu yako. Ila ukweli ndio huo. I am out.