Adhabu ninayoipata tangu nihamie chumba cha master, nipeni maujanja

Adhabu ninayoipata tangu nihamie chumba cha master, nipeni maujanja

Wewe utakuwa ukishachuchumaa kushusha mzigo unasubiria hadi umalize ndio unaflush maji hapo lazima harufu isambae hadi nje maana watu wengine sijui huwa mnahifadhi vitu gani kwenye matumbo yenu.

Unachotakiwa ni kila unaposhusha kitu unakisindikiza na maji kiende shimoni na kutoweka. Halafu ukimaliza kabisa kujisafisha ukisimama unamalizia na kuflush maji mengi kabisa kuhakikisha kimepotea.

Hivi vitu sio vya kufundishwa ukubwani unatakiwa uwe unavijui kuanzia shule ya msingi.

Kuhusu harufu nzuri me huwa natumia kasabuni fulani hivi ka maji kinaitwa Yakari. Choo cha chumbani na cha public. Huwa vinakuwa vinanukia kama store ya biscuits. Huku chumbani kwangu harufu nzuri ya washroom unaipata ukiwa kitandani na kule public washroom wageni wakija wanaulizia huwa natumia nini kuweka harufu nzuri.
 
  • Thanks
Reactions: al1

Water seal kwenye trap ndio shida maji yakipungua hile level ata kama ni kisoda harufu ina rudi so itakuwa choo chake kime setiwa vibaya
 
Choo chako mwenyewe kinakukera vipi feel proud of ur faeces bro .
 
Wakati mwengine mambo kama haya unatafuta hata fundi hapo mtaani unamshirikisha ili akupe njia ya kusawazisha baadhi ya mambo otherwise utadhalilika kama inavyotokea hapa.

Siyo kwamba humwagi maji mengi uchafu ukaenda, hiyo hali inatokana na mgandamizo wa hewa kwenye shimo kubwa nje so inakosekana njia ya kupumulia, obviously tatizo lipo kwenye line ya kutoka chooni (humo ndani) kwenda kwenye septic tank hawakuweka bomba mbadala kuzuia harufu isirudi ndani, fanya hivi.

Kama pale kwenye shimo kubwa nje imewekwa bomba moja ita fundi akuwekee lingine hapo lilipotokea bomba la kusafirisha uchafu (namaanisha hapo karibu kabisa na ukuta wa choo chako cha ndani) hiyo hali itaisha.
Nionavyo mimi chumba kilijengwa kwanza halafu baadae mwenye nyumba akapunguza ukubwa wa chumba kwa kujenga Choo ndani kwa ndani. Hakukuwa na matayarisho yanayohitajika ili kuzuia harufu kurudi tena chumbani na hivyo balaa likaanzia hapo.
 
Back
Top Bottom