Anotherperson
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 601
- 672
Ukilenga shimo gogo linarusha maji yanakuloanisha. tatizo hiloMkuu unaonyesha huna shabaha ya kulenga tundu ya choo,,,
Wengi hujisaidia kwenye sink la choo halafu wanaflash baadae hapo ndy tatizo linapoanza,,kwn hata ukiflash harufu lazima ijae kote..
1..Lenga shimo
2..maji mengi.
3.tumia dawa ya kusafisha sink baada ya haja..
4..usivute sigara wakati wa kukata gogo,,kutakufanya upoteze muda mwingi bila kuflash na harufu kuanza kuenea ndani..