MoneyHeist4
JF-Expert Member
- Jul 10, 2017
- 2,134
- 3,192
Kwangu sijaweka milango ya chooni nimeweka pazia tu [emoji38] na huwa naachia mzigo wa kutosha tu na hamna harufu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili unazo hawajui tuWengi hawajaelewa mada.
Anyway, suluhisho hapo ni kujitahidi kula matunda na maji kwa wingi. Pia jitahidi kupunguza kiwango cha chumvi kwenye chakula. Nadhani itasaidia
Weka sinki la choo cha kukaa.. Halitoi harufu kwa kuwa haja huzama ndani ya maji.. Kwa choo cha kuchuchumaa, mwaga maji sekunde chache baada ya kupata haja ili uchafu uende huku ukiendelea n 'awamu ya pili' ya ukataji.Mambo vipi,
Uzi huu ni spesho kwa waliopanga au wenye nyumba za masta tu nikimaanisha choo kipo kwenye chumba cha kulala, Hivi karibuni nimeama kutoka chumba kimoja chenye choo cha nje na kuhamia chumba cha kodi elfu50 choo cha ndani.
Sasa tatzo kila nikikata gogo harufu inarudi chumbani chumba chote kinakuwa puyaaaa daaaah nakereka sana kama kuna sabauni au Air fresh nzuri ya chooni naomba mnielekeze kukata hii harufu.
Hongera sana kwa kuhamia chumba chenye choo ndani japo ninamashaka chumba cha elfu 50 choo ndani inaezekana choo hicho kina hali isiyoridhisha hivyo kinahitaji maboresho ili kukidhi mapungufu ya kurudisha harufu ndaniMambo vipi,
Uzi huu ni spesho kwa waliopanga au wenye nyumba za masta tu nikimaanisha choo kipo kwenye chumba cha kulala, Hivi karibuni nimeama kutoka chumba kimoja chenye choo cha nje na kuhamia chumba cha kodi elfu50 choo cha ndani.
Sasa tatzo kila nikikata gogo harufu inarudi chumbani chumba chote kinakuwa puyaaaa daaaah nakereka sana kama kuna sabauni au Air fresh nzuri ya chooni naomba mnielekeze kukata hii harufu.
Hiyo ndio harufu halisi ya kutoka ndani ya mwili wa binadamu,halafu ukute mwenyewe ukitoka umechomekea fresh,perfume kwa sana,uso umepiga scrub,unang'ra mwenyewe na kata K yako,kumbe ukikata gogo lazima watu watimke 😂😂😂...Mambo vipi,
Uzi huu ni spesho kwa waliopanga au wenye nyumba za masta tu nikimaanisha choo kipo kwenye chumba cha kulala, Hivi karibuni nimeama kutoka chumba kimoja chenye choo cha nje na kuhamia chumba cha kodi elfu50 choo cha ndani.
Sasa tatzo kila nikikata gogo harufu inarudi chumbani chumba chote kinakuwa puyaaaa daaaah nakereka sana kama kuna sabauni au Air fresh nzuri ya chooni naomba mnielekeze kukata hii harufu.
Hapo mkuu haujashauri kitu.Sema tu ni ugeni wa chumba chenye choo,ukizoea hiyo harufu utaiona ya kawaida na utakuwa unaweza hata kulia msosi toilet
Picha plzWakati mwengine mambo kama haya unatafuta hata fundi hapo mtaani unamshirikisha ili akupe njia ya kusawazisha baadhi ya mambo otherwise utadhalilika kama inavyotokea hapa.
Siyo kwamba humwagi maji mengi uchafu ukaenda hiyo hali inatokana na mgandamizo wa hewa kwenye shimo kubwa nje so inakosekana njia ya kupumulia,obviously tatizo lipo kwenye line ya kutoka chooni (humo ndani) kwenda kwenye septic tank hawakuweka bomba mmabadala kuzuia harufu isirudi ndani,fanya hivi.
Kama pale kwenye shimo kubwa nje imewekwa bomba moja ita fundi akuwekee lingine hapo lilipotokea bomba la kusafirisha uchafu (namaanisha hapo karibu kabisa na ukuta wa choo chako cha ndani) hiyo hali itaisha.
Mboga za majani kwa wingi. Huwa zinasaidia sana.... Gogo linakuwa halitoi harufu chafu.Wengi hawajaelewa mada.
Anyway, suluhisho hapo ni kujitahidi kula matunda na maji kwa wingi. Pia jitahidi kupunguza kiwango cha chumvi kwenye chakula. Nadhani itasaidia
Mambo vipi,
Uzi huu ni spesho kwa waliopanga au wenye nyumba za masta tu nikimaanisha choo kipo kwenye chumba cha kulala, Hivi karibuni nimeama kutoka chumba kimoja chenye choo cha nje na kuhamia chumba cha kodi elfu50 choo cha ndani.
Sasa tatzo kila nikikata gogo harufu inarudi chumbani chumba chote kinakuwa puyaaaa daaaah nakereka sana kama kuna sabauni au Air fresh nzuri ya chooni naomba mnielekeze kukata hii harufu.
Nunua airfresh za vyoo bossMambo vipi,