Kamukhm
JF-Expert Member
- Aug 30, 2015
- 2,801
- 4,212
Ongea na mwenye nyumba amlet fundi atoe sinki aliweke upya.Mambo vipi,
Uzi huu ni spesho kwa waliopanga au wenye nyumba za masta tu nikimaanisha choo kipo kwenye chumba cha kulala, Hivi karibuni nimeama kutoka chumba kimoja chenye choo cha nje na kuhamia chumba cha kodi elfu50 choo cha ndani.
Sasa tatzo kila nikikata gogo harufu inarudi chumbani chumba chote kinakuwa puyaaaa daaaah nakereka sana kama kuna sabauni au Air fresh nzuri ya chooni naomba mnielekeze kukata hii harufu.
Kwa chini ya sink Kuwa kuna namna wanaweka ili unapoflush maji yanabaki yakiziba uwazi wa kutoka kwenye Chemba mpaka ndani.
Kama wameweka moya kwa moya bomba mpaka kwenye shimo la taka.. hiko si choo cha ndani tena.. ni choo cha shimo au antenna.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app