Adhabu ninayoipata tangu nihamie chumba cha master, nipeni maujanja

Wewe utakuwa ukishachuchumaa kushusha mzigo unasubiria hadi umalize ndio unaflush maji hapo lazima harufu isambae hadi nje maana watu wengine sijui huwa mnahifadhi vitu gani kwenye matumbo yenu.

Unachotakiwa ni kila unaposhusha kitu unakisindikiza na maji kiende shimoni na kutoweka. Halafu ukimaliza kabisa kujisafisha ukisimama unamalizia na kuflush maji mengi kabisa kuhakikisha kimepotea.

Hivi vitu sio vya kufundishwa ukubwani unatakiwa uwe unavijui kuanzia shule ya msingi.

Kuhusu harufu nzuri me huwa natumia kasabuni fulani hivi ka maji kinaitwa Yakari. Choo cha chumbani na cha public. Huwa vinakuwa vinanukia kama store ya biscuits. Huku chumbani kwangu harufu nzuri ya washroom unaipata ukiwa kitandani na kule public washroom wageni wakija wanaulizia huwa natumia nini kuweka harufu nzuri.
 
Reactions: al1
Water seal kwenye trap ndio shida maji yakipungua hile level ata kama ni kisoda harufu ina rudi so itakuwa choo chake kime setiwa vibaya
 
Choo chako mwenyewe kinakukera vipi feel proud of ur faeces bro .
 
Nionavyo mimi chumba kilijengwa kwanza halafu baadae mwenye nyumba akapunguza ukubwa wa chumba kwa kujenga Choo ndani kwa ndani. Hakukuwa na matayarisho yanayohitajika ili kuzuia harufu kurudi tena chumbani na hivyo balaa likaanzia hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…