CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Let them kill each other after all they are animals.Maadam ni Maccm yenyewe yameamua kuhukumiana! Kwa kweli yatajuana yenyewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Let them kill each other after all they are animals.Maadam ni Maccm yenyewe yameamua kuhukumiana! Kwa kweli yatajuana yenyewe.
Kwahiyo ushahidi wa Mpina umezimwa! Hautajadiliwa.Ushahidi sehemu yake ni Mahakamani
Pale wamemuhukumu kwa kudharau kiti cha Spika
Ukiona mwenge unakuja mjini kwako kimbia halaka eneo hiloBunge limtoa adhabu ya juu kabisa kwa kile kinachoonwa ni dharau ya Mpina kwa Spika wa Bunge. Na kwa kifupi sana, bila kutoa maelezo kamati ya maadili imetamka kwamba Bashe hakusema uongo, ikimaanisha kwamba ushahidi alioutoa Bashe, ambao uko wazi sana ni jinsi gani Bashe alidanganya, unaonwa kuwa ni uongo.
Mtu yeyeote mwenye akili timamu atajua ni nini kinachoendelea hapa, na wabungewote wenye akili timamu hawakutaka kumdadili Mpina, kwa kuwa wanajua nini kiko nyuma ya pazia juu ya suala hili la sukari - kulinda wale waliopo juu, ambao waliamua kutumia biashara ya sukari kujifaidisha wao na famiia zao. Kuna baadhi ya Wabunge hata walisema wao wanamwachia Mungu, kwa sababu anaona kila kitu wanachofanya. Kauli ya kumwachia Mungu jambo hili ilipotolewa wabunge wengi waliinamisha vichwa vyao chini kwa aibu na "remorse".
Kwa hiyo basi, hii inamaanisha nini kwa sisi wananchi ambao tunaliona hili kuwa Bunge letu? Kwanza kabisa, ni kwamba Bunge hili limetukana sisi wananchi, limeonyesha wazi haliko na wananchi, bali liko pale kutumikia watu fulani katika ubinafsi na ufisadi wao, katika hujuma yao dhidi ya nchi hii. Pili ni kwamba wananchi tumedharauliwa sana, na hata zaidi wale waliomchagua Mpina kama Mbunge wao. Bunge limeamua kwa makusudi kuwadharau, dharau mbaya kuliko ile Mpina anayosema aliifanya kwa Spika.
Na niwaambie wazi, Spika wa Bunge anatumika tu, na hata kuna tetesi kuwa amekubali kutumiwa kwa sababu ya ahadi anazopewa. Ni mtu wa kuhurumiwa sana. Alitumika wakati wa awamu iliyopita, na anatumika katika awamu hii.
Mwisho niseme wazi, Bunge na serikali wanapaswa kutambua kwamba haya mambo yana mwisho wake, na mwisho wanaotulazimisha wazalendo halisi wa nchi hii tuutafute, hautakuwa mzuri kwao. Hilo ni dhahiri kabisa.
Dawa yao ni kuwapiga chini wote 2025Bunge limtoa adhabu ya juu kabisa kwa kile kinachoonwa ni dharau ya Mpina kwa Spika wa Bunge. Na kwa kifupi sana, bila kutoa maelezo kamati ya maadili imetamka kwamba Bashe hakusema uongo, ikimaanisha kwamba ushahidi alioutoa Bashe, ambao uko wazi sana ni jinsi gani Bashe alidanganya, unaonwa kuwa ni uongo.
Mtu yeyeote mwenye akili timamu atajua ni nini kinachoendelea hapa, na wabungewote wenye akili timamu hawakutaka kumdadili Mpina, kwa kuwa wanajua nini kiko nyuma ya pazia juu ya suala hili la sukari - kulinda wale waliopo juu, ambao waliamua kutumia biashara ya sukari kujifaidisha wao na famiia zao. Kuna baadhi ya Wabunge hata walisema wao wanamwachia Mungu, kwa sababu anaona kila kitu wanachofanya. Kauli ya kumwachia Mungu jambo hili ilipotolewa wabunge wengi waliinamisha vichwa vyao chini kwa aibu na "remorse".
Kwa hiyo basi, hii inamaanisha nini kwa sisi wananchi ambao tunaliona hili kuwa Bunge letu? Kwanza kabisa, ni kwamba Bunge hili limetukana sisi wananchi, limeonyesha wazi haliko na wananchi, bali liko pale kutumikia watu fulani katika ubinafsi na ufisadi wao, katika hujuma yao dhidi ya nchi hii. Pili ni kwamba wananchi tumedharauliwa sana, na hata zaidi wale waliomchagua Mpina kama Mbunge wao. Bunge limeamua kwa makusudi kuwadharau, dharau mbaya kuliko ile Mpina anayosema aliifanya kwa Spika.
Na niwaambie wazi, Spika wa Bunge anatumika tu, na hata kuna tetesi kuwa amekubali kutumiwa kwa sababu ya ahadi anazopewa. Ni mtu wa kuhurumiwa sana. Alitumika wakati wa awamu iliyopita, na anatumika katika awamu hii.
Mwisho niseme wazi, Bunge na serikali wanapaswa kutambua kwamba haya mambo yana mwisho wake, na mwisho wanaotulazimisha wazalendo halisi wa nchi hii tuutafute, hautakuwa mzuri kwao. Hilo ni dhahiri kabisa.
Hilo ni lazima lilikuwa na maagizo, na Mpina kuongea na waandishi ilikuwa ni loop hole waliyoipata. These people are so so so evil!Kwahiyo ushahidi wa Mpina umezimwa! Hautajadiliwa.
Hapati. Na wala hatakuwa akienda Dodoma wakati wa vikao. Kufanya nini?Naomba kuuliza hata asipohudhuria, ila posho ya kila kikao si anapata km kawaida au?
Sio kwa wapiga kura wa Kitanzania. Umeona signature yangu inavyosema? Nilishasema humu ndani kwamba tatizo la Tanzania ni kwamba karibu 70% ya wapiga kura ni political semi-illiterates, na karibu 80% ya political literates hawapigi kura. Sasa kwa hiyo hesabu tu, CCM hata kabla ya uchaguzi wana kura karibu 60%, wakichukua wale 50% ya literates wanaopiga kura.Dawa yao ni kuwapiga chini wote 2025
Vikao vyenyewe havitusaidii kitu wananchi.Hapati. Na wala hatakuwa akienda Dodoma wakati wa vikao. Kufanya nini?
Acheni mikwara nyie waswahili....hamna cha kufanya.Mwisho niseme wazi, Bunge na serikali wanapaswa kutambua kwamba haya mambo yana mwisho wake, na mwisho wanaotulazimisha wazalendo halisi wa nchi hii tuutafute, hautakuwa mzuri kwao. Hilo ni dhahiri kabisa.
Tumeona walichofanya wabunge tunajiandaa kuchukua hatua kama kwa wenzetu KenyaBunge limtoa adhabu ya juu kabisa kwa kile kinachoonwa ni dharau ya Mpina kwa Spika wa Bunge. Na kwa kifupi sana, bila kutoa maelezo kamati ya maadili imetamka kwamba Bashe hakusema uongo, ikimaanisha kwamba ushahidi alioutoa Bashe, ambao uko wazi sana ni jinsi gani Bashe alidanganya, unaonwa kuwa ni uongo.
Mtu yeyeote mwenye akili timamu atajua ni nini kinachoendelea hapa, na wabungewote wenye akili timamu hawakutaka kumdadili Mpina, kwa kuwa wanajua nini kiko nyuma ya pazia juu ya suala hili la sukari - kulinda wale waliopo juu, ambao waliamua kutumia biashara ya sukari kujifaidisha wao na famiia zao. Kuna baadhi ya Wabunge hata walisema wao wanamwachia Mungu, kwa sababu anaona kila kitu wanachofanya. Kauli ya kumwachia Mungu jambo hili ilipotolewa wabunge wengi waliinamisha vichwa vyao chini kwa aibu na "remorse".
Kwa hiyo basi, hii inamaanisha nini kwa sisi wananchi ambao tunaliona hili kuwa Bunge letu? Kwanza kabisa, ni kwamba Bunge hili limetukana sisi wananchi, limeonyesha wazi haliko na wananchi, bali liko pale kutumikia watu fulani katika ubinafsi na ufisadi wao, katika hujuma yao dhidi ya nchi hii. Pili ni kwamba wananchi tumedharauliwa sana, na hata zaidi wale waliomchagua Mpina kama Mbunge wao. Bunge limeamua kwa makusudi kuwadharau, dharau mbaya kuliko ile Mpina anayosema aliifanya kwa Spika.
Na niwaambie wazi, Spika wa Bunge anatumika tu, na hata kuna tetesi kuwa amekubali kutumiwa kwa sababu ya ahadi anazopewa. Ni mtu wa kuhurumiwa sana. Alitumika wakati wa awamu iliyopita, na anatumika katika awamu hii.
Mwisho niseme wazi, Bunge na serikali wanapaswa kutambua kwamba haya mambo yana mwisho wake, na mwisho wanaotulazimisha wazalendo halisi wa nchi hii tuutafute, hautakuwa mzuri kwao. Hilo ni dhahiri kabisa.
Exactly, wezi wanalindana na wakati mwingine wanatumia fedha kulindana.Hapo ndo unagundua mpina alikua sahihi kuidrop ile report kwa Uma. Kwa sababu alijua hakuna hatua, bunge/Mahakama/Rais wangechukua.
Kwa akili ndogo, Serikali inapuuza report ya CAG na mapendekezo yake ya wazi, ndo ije itetereke na report ya mpina 🤣
Sijawai kuandamana. Ila wangesema tuandamane kulishinikiza bunge, kumrudisha bungeni mpina ningeandamana.
Yaan hata CAG asingekuwa mteuliwa wa serikali angetimuliwa na Tulia.Na angeambiwa mawazir wanafanya,kazi nzuri ww unasema wanaiba. Chezea, shibe wewe. Shibe mwanamalevya.Bunge limtoa adhabu ya juu kabisa kwa kile kinachoonwa ni dharau ya Mpina kwa Spika wa Bunge. Na kwa kifupi sana, bila kutoa maelezo kamati ya maadili imetamka kwamba Bashe hakusema uongo, ikimaanisha kwamba ushahidi alioutoa Bashe, ambao uko wazi sana ni jinsi gani Bashe alidanganya, unaonwa kuwa ni uongo.
Mtu yeyeote mwenye akili timamu atajua ni nini kinachoendelea hapa, na wabungewote wenye akili timamu hawakutaka kumdadili Mpina, kwa kuwa wanajua nini kiko nyuma ya pazia juu ya suala hili la sukari - kulinda wale waliopo juu, ambao waliamua kutumia biashara ya sukari kujifaidisha wao na famiia zao. Kuna baadhi ya Wabunge hata walisema wao wanamwachia Mungu, kwa sababu anaona kila kitu wanachofanya. Kauli ya kumwachia Mungu jambo hili ilipotolewa wabunge wengi waliinamisha vichwa vyao chini kwa aibu na "remorse".
Kwa hiyo basi, hii inamaanisha nini kwa sisi wananchi ambao tunaliona hili kuwa Bunge letu? Kwanza kabisa, ni kwamba Bunge hili limetukana sisi wananchi, limeonyesha wazi haliko na wananchi, bali liko pale kutumikia watu fulani katika ubinafsi na ufisadi wao, katika hujuma yao dhidi ya nchi hii. Pili ni kwamba wananchi tumedharauliwa sana, na hata zaidi wale waliomchagua Mpina kama Mbunge wao. Bunge limeamua kwa makusudi kuwadharau, dharau mbaya kuliko ile Mpina anayosema aliifanya kwa Spika.
Na niwaambie wazi, Spika wa Bunge anatumika tu, na hata kuna tetesi kuwa amekubali kutumiwa kwa sababu ya ahadi anazopewa. Ni mtu wa kuhurumiwa sana. Alitumika wakati wa awamu iliyopita, na anatumika katika awamu hii.
Mwisho niseme wazi, Bunge na serikali wanapaswa kutambua kwamba haya mambo yana mwisho wake, na mwisho wanaotulazimisha wazalendo halisi wa nchi hii tuutafute, hautakuwa mzuri kwao. Hilo ni dhahiri kabisa.
Kiti ndiyo takataka gani? Maana kwingine ulisikia kiti ni makao ya mapepoUshahidi sehemu yake ni Mahakamani