Charles Gerald
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 1,403
- 1,837
Niadd kwa group lako 0692636266/0742443785
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acheni unafki nyie wakiristo hao sadamu huseni alinyongwa tujiulize alinyongwa na waislam au ninyienyie wakristo au mnaegemea upande mmoja tu upande wa pili mnafumba macho anayeua lazma auwawe mfano mtu ameua familia yako naunajua kabisa ukimuacha ataua na wengine kwaiyo umuache aendelee kuleta mathara makubwa acheni unafki lengo hapa ni kukashifu dini ya kislam kama athabu mbona hata nyie wakiristo mnanyonya na kutesa watuHalafu kuna watu walitaka mahakama ya kadhi! Nahisi walikuwa na kisa na mtu.
Kumbe tupo pamoja kuleeeeThank you Mkuu.... Mimi nimeshasoma kitambo. Kuleeee
Ndiyo Mkuu. Tupo wote huko tunakodoa tu.....Kumbe tupo pamoja kuleeee
Sasa wewe jamaa,ume quote post nzima kwa kiji comment hiki?Kweli wewe ni the bold. Subliminal messaging sijui umejifunza wapi. Okay, asante kwa kutufundisha kunyonga.
Punguza mapenzi kwenye dini..... Angalia madhara zaidi. Hapa tunahitaji kuwaokoa wenzetu maana nao wana mwili na nyama... Kama nafsi yako ilivo...hivyohivyo nao. Ndo maana hata mchinjaji anasema huwa wamelegea sana na wengine huomba wasamehewe.....lkn anasema kwao msamaha huwa haupo...... Sasa tunawasaidiaje nao waishi kama sisi!?na wale wafungwa wa gwantanamo waliokuwa wanachomwa moto wakiwa hai haukuiona hiyo au?kule burma mabudha wanavyowauwa waislamu na kuwala nyama zao(endocannibalism) pia haukuiona hiyo,waisraeli wanavyowauwa watoto wa kipalestina ambao hawana hata nguvu ya kujitetea pia haukuiona hiyo UNAKUJA INGILIA HUKMU BILA KUANGALIA HUYO ANAYEFANYIWA HIVYO ALIFANYA NN??
Kata kiu kidogo utasahau sanamu ya ng'ombeNaona umepewa sanamu ya ng'ombe ya kwa sura ya binadamu...
Hao walomuua sadam hawakumuua kama kutimiza mapenzi ya Mungu bali yao, huwezi kuwalinganisha na hili. Anyway lengo ni kupinga hizi adhab ambazo hazina chembe ya utu,au wewe umeona ni sawa hivo wanavyofanya.Acheni unafki nyie wakiristo hao sadamu huseni alinyongwa tujiulize alinyongwa na waislam au ninyienyie wakristo au mnaegemea upande mmoja tu upande wa pili mnafumba macho anayeua lazma auwawe mfano mtu ameua familia yako naunajua kabisa ukimuacha ataua na wengine kwaiyo umuache aendelee kuleta mathara makubwa acheni unafki lengo hapa ni kukashifu dini ya kislam kama athabu mbona hata nyie wakiristo mnanyonya na kutesa watu
Yaani ni bora tuendelee kusonga na tz yetu. Kuna nchi zina mambo ya ajabu kabisa ya dhahiri.Asante @Thebold nimesoma mpaka nikajikuta machozi yananitoka.kuna nchi hazifa kuishi kabisa asee.
Na kuna watu wana roho za ajabu,Kama huyo mchinjaji.
Yaani. Tanzania yetu ni raha sana. Tunaishi tutakavyo aseeYaani ni bora tuendelee kusonga na tz yetu. Kuna nchi zina mambo ya ajabu kabisa ya dhahiri.
Tatizo mnachanganya dini na imani,ukristo ni imani tu na si dini..fikiria hili kuna tofauti kubwa hapo,wakristo wanaamua wenyewe lipi baya na lipi zuri hali hiyo ni tofauti na kwenye dini ambapo Mungu ndiye mwenye kusema lipi baya na lipi zuri.
Wapi kwenye qur-an kumeelezea wa2 wasome biblia acha kufananisaha tui la nazi na maziwa ww ww fuata imani yako wacha ss tufuate diniMkuu una hoja madhubuti LAKINI unavoiwasilisha hadi mate uanaturukia huku great thinkers, unashindwa kutuelezea vizuri kati ya uislam na uarabu, wao wanahukumu kulingana na maandiko ya kitabu chao na wanadhani wanamfanyia MUNGU wao ibada, hivi waarab wanatumia Bible au............? Kwahiyo waarab ni walokole au wasabato? Pengine upo sahihi lakin unajiloanisha mdomo na nguo zako kwa povu la aerial kama si Omo,
Kila jambo linalofanyika hapa dunian biblia imegusia yote hata hayo ya kuchinja, pamoja na biblia kutafsriwa kwa kila lugha lakini kama hujaongozwa utatoka mtupu kwa kichwa.
Juzi kat kuna maboya walitaka kuanzisha mahakama ya ujinga gani et..... Kwani wale walikuwa waarabu au?
Hamjiulizi kwanin Quran inawaelekeza kusoma BIBLIA.....
Fungueni macho enyi kizazi cha nyoka kizazi cha wasioamini
Kwenye family mtu mmoja au wawili wakiiba tunajua nyumba nzima wezi,
Je unadhani BIBLIA ingelikuwa inatafsriwa kijinga wewe ungelipona juu ya kuasi ukristo ambao ndio NJIA ya haki na kwenda kusiko julikana?
Samahan sana mkuu povu lako ndo limesababisha nikutag
umenichekesha sana IQ kubwa umeshavumbua nn mpaka ss hivi wenzako wakina tesla pamoja na kiwa na iq kubwa hawakuwahi quote pumba kama hivi bila shaka una IQ ya 75 bado upo ndotoni tuuuuuuuuuuWajinga ndo wateleta ubishi wa kidini. Wenye IQ kubwa tumepata hali halisi ya maisha ya Saudi Arabia.
Wewe unaona hizo adhabu sio sawa ila wengine wanaona ni sahihi maana binaadamu tunatofautiana,kwani imani yako inasemaje mfano kuhusu mtu aliyeua?Hao walomuua sadam hawakumuua kama kutimiza mapenzi ya Mungu bali yao, huwezi kuwalinganisha na hili. Anyway lengo ni kupinga hizi adhab ambazo hazina chembe ya utu,au wewe umeona ni sawa hivo wanavyofanya.
MKUU UMEONGEA KI2 PANCTUAL SANA UNAJUA HAWA WA2 WANATAKA YAANI TUISHI KAMA DINI ZA MAGHARIBI HUKO YAANI USHOGA NDOA ZA JINSIA MOJA KWA WALE WAPENTECOSTE WA NCHI ZA NJE WAO WAONE POA 2 HAMUNA KI2 KAMA HIYO HOZO SHERIA ZA KWENYE MKUSANYIKO WA VITABU (BIBLE) MLIZITUNGA NYIE WENYEWE YAANI HATA AMRI NA MAFUNDISHO NDIYO NYIE MNAYACHAMBU What a dissrespect ??????????Mzee unachanganya habari.Katika ulimwengu wa uislamu na sheria za haki,hukumu zina misingi yake kadhalika masharti yake.
Adhabu ya kifo katika ulimwengu wa kiislamu ni haki na ikikidhi vigezo,lazima itekelezwe na hutakiwi kusita au kutekeleza amri ya Mola mlezi mwenye kujua.Adhabu ya kifo ina hekima zake na lengo ni kutokomeza maouvu katika mtindo huo.
Sheria ya kiislamu imekuja kusimamia haki na kuwaadabisha waouvu na kuwalipa mema wale wema,sheria ya kiislamu imekuja kuweka sawa mambo na kuifanya dunia kuwa sehemu salama ya kuishi.
Sheria ya kiislamu imekuja kulinda akili ya binadamu isichafuliwe,imekuja kulinda vizazi na nasaba,imekuja kumlinda mwanamke na mfano wake,ndio maana ikawa uzinifu ni harafu,mtoto wa nje ya ndoa hana haki ya kurithi na mtoto wa nje ya ndoa ni wa mwanamke si wa mwanaume.
Adhabu ya kifo katika uislamu haitekelezwi kibubusa yaani kichwa mchunga,katika uislamu kuna sheria ambazo hazitekelezwi mpaka sehemu husika iwe iko chini ya utawala wa kiislamu na kuwe kuna mtawala.
Mfano wa nchi hizo ambazo hutekeleza sheria hizo ni saudi Arabia.
Halafu sisi waislamu hatuna amri kumi mzee,sisi tuna kitabu na mwenendo wa mtume amani ya Allaah iwe juu yake,yaani tuna zaidi ya hivyo....
Kuna tofauti kati ya mtu kumuua mwenzie na dola kusimamia sheria,hivi ni vitu viwili tofauti.Jambo la kwanza ni haramu mtu kuiua nafsi ya mwenzie pasi na haki,na ukibainika umefanya hivyo basi adhabu yako ni kuuwawa.Kwenye hiyo ahdabu ya wewe kuuwawa inasimamiwa na dola.Kwahiyo ni jambo lisilo epukika...
Hebu fafanua hiyo kuishi tutakavyo.Yaani. Tanzania yetu ni raha sana. Tunaishi tutakavyo asee
Hata israel hawachinjani hovyo. Watailaum israel wakati wao ndio wadudu wabaya
WELL SAIDDDDDDD !!!!!!!! Kam na hii hamutaelewa bhasiiii nyie ni vichwa maaaaaaajiiiMzee adhabu ya kifo ipo na ni ya tangu na tangu,hapa duniani lazima wawepo watu ambao wanasimamia sheria za Allah mlezi.Mzee dunia ni yetu sote,haitakubalika waouvu wafanye maovu yao na ufisadi halafu wakaachiwa wanatamba.Mambo hayo huyakuti katika nchi za kiislamu zenye kuendeshwa na sheria,mambo hayo utayakuta katika nchi za kidemokrasia,nchi za utawala wa kifedhuli na ujinga ulivuka mipaka.Ndio maana katika uislamu DEMOKRASIA NI HARAMU NA NI UKAFIRI.