Adhabu ya kifo kwa kuchinjwa mbele ya kadamnasi (Tahadhari: maelezo, picha na video za ukatili)

Status
Not open for further replies.
Mashetani hawa hakuna Mungu wa Namna hii. Mungu anapenda amani , msamaha na utii . hawa Mungu wao Shetani Hakika
 
Mkuu The bold asante kwa elimu ya namna wenzetu wanavyoishi na kuamini......hakika sitakaa niende Nchi kama hiyo......duh! Siipendi CCM ila bora nikomae tu hapa bongo lkn sio kwa hao jamaa.
 
Kama penal code yao inatoa adhabu hizo basi kuwa raia mwema tu.
Ukiambiwa tunza rinda basi litunze...ukiliwachia utakatwa tu.
Ukiambiwa wacha wizi wacha..
Safi kabisa.....unafikiri hapa tungekua tunakata mkono tu kwa majambazi basi ungetembea na gunia la pesa hakugusi mtu...au wale wahuni wa lipumba wangekatwa mikono unafikiri mtu angekubali kutumiwa kijinga
Anyway hii story ya kishia shia...na siasa zao ...hivo wametia chumvi sana kwani Saudi ukubwa wake sawa na Tz....sasa huyu jamaa atazunguka nchi nxima kukata vichwa .?
Chumvi imekolea sana
 
Adhabu ya kifo kwa kuchinjwa Deera square. Hivyo hapo Deera square ndipo kwa Allah alipochagua watu wachinjwe? Kama ni chagua la Allah sijui anafurahishwa na nini kuona kadamnasi ikishangilia au kuuzunika kwa vifo vya uchinjaji? Mungu navyofahamu anatujali kama mzazi au baba. Endapo mtoto anakosea utamuadhibu au kumuelewesha bila kumfanyia mateso mbele za watu ukiwa wewe ni baba. Sasa kwa mantiki hiyo Allah anafuraia kuona mateso ya hali ya juu panapo umati, hii ni dhahiri matendo machafu na ukatili wa kishetani!
 
mwenye kuhukumu ni Mungu pekee kwa nini Lakini Tujivike majukumu ya Mungu?? Daaaahh, kama ndo Imani muhhhh hapana kwa kweli
 
Sasa nime elewa
ni kwanini Serikari haitaki kudhamini Mahakama ya kadhi
Kitendo cha kusema itashughulika na Ndoa, Ibada na Mirathi pekee ni kinyume na ukweli kuwa,
Inaposimama mahakama ya kadhi SHARIA yote ya dini lazima ifanye kazi kwani Qurani ndo inavyoelekeza
Wakisema hawatachinja wazinzi basi hiyo sio Mahakama yenye kufuata hukumu za Qurani labda watumie kitabu kingine, na Waislamu wa kweli hawataikubali.
Nilipozungumza na baadhi ya Waumini wa Kiislamu wanasema hawaitaki hiyo mahakama kwani hawawezi kuhimili adhabu zake, na kama itaruhusiwa wengi watakuwa radhi kubadili dini ili kukwepa adhabu za Sharia.
Mimi binafsi siitaki mahakama hiyo kwani sipo tayari kuwashudia marafiki na ndugu zangu kama, Bwana Juma Selemani, na Fadhiri Hussein wakichinjwa hadharani kwa kosa la kutembea nje ya ndoa jambo ambalo kwa nchi yetu ni kati ya mila na desturi za makabila yetu toka zamani.
Wazee wetu walikuwa wanaoa wake wengi na kabla ya kuwaoa walikuwa wakitembea nao kwanza bila kuhalalishwa na desturi za jamii husika.
Ndugu zangu,
Waislamu achaneni na kudai Mahakama ya Kadhi. Jambo likikataliwa na jamii mjue halifai.
Sisi Wakristo tunaotumia mafundisho ya Kitabu Cha Injili,
Tumeagizwa kuitii Serikari tunapo jumuika na maswala ya jamii yetu, hii ni pamoja na kutumia Mahakama za Kiserikali
Tunapo jumuika Kiimani, haturuhusiwi kuhukumu, hata tutendewe kosa kubwa namna gani
Tumepewa angalizo kuwa, tusipo samehe na sisi hatuta samehewa tutakapo tubu.
Tumeambiwa wazi kuwa sote tumetenda dhambi, na hakuna asiye wahi kufanya dhambi.
Kwamba.
Mtakatifu ni Mungu peke yake.

Amina
 
mkuu The Bold naomba mwendelezo wa ile story ya Facebook na mafounder wake plz,naisaka siioni ,pia kwa hali ya uchumi wa sasa hizi story uziweke katika mfumo wa kitabu then uwe unauuza hata kama itakuwa ni kwa sh 2000 itatosha sana,pia ni vema ukatafuta safu kwenye magazeti ukawa na unaandika makala zako ama anzisha blog,utapata mashabiki,kuhusu blog na ushauri ni pm kama vp mkuu
 
Unataka mwenzio afungwe. Katika hali ya kawaida huwezi kuleta mada ya uchochezi eti watu wana chinjwa kwa kuwa dini imesema wakati kuchinjwa kwa hao watu hakuhusiani na dini bali watu wamekuwa overwhelmed na maneno ya Al Baesh.
 
Hiyo hukumu haisaidii kumaliza uhalifu, la sivyo wasingeendelea kuchinjwa kila kukicha mana yake ndo kwanza wanaongezeka
 
Unataka mwenzio afungwe. Katika hali ya kawaida huwezi kuleta mada ya uchochezi eti watu wana chinjwa kwa kuwa dini imesema wakati kuchinjwa kwa hao watu hakuhusiani na dini bali watu wamekuwa overwhelmed na maneno ya Al Baesh.


Hapana hawezi fungwa hata akishtakiwa coz karibia mambo yote anayoyaandikaga mkuu The bold yanavyanzo vyake vya taarifa na hata wewe ukitaka waweza kwenda kutafta na kusoma,sema yeye ni mtaalamu wa kutafta makala nzuri,kuzifasili kwa lugha nzuri na fasaha ya kimasimulizi na kuongezea mvuto na mtililiko sahihi,labda cha kuogopa ni kimoja atakapoanza kuandika na kutoa vitabu ama makala atakuwa wazi(expossed)tofauti na sasa ana cover kupitia Jf,na hapa madhara yanaweza kuwepo na faida pia
 
Hata sisi tunao huo uwezo wa kutafuta na kutiririka. Kwani ukitiririka ndio huwezi kushitakiwa? Kwani hujui maana ya neno uchochezi?
 
Unataka mwenzio afungwe. Katika hali ya kawaida huwezi kuleta mada ya uchochezi eti watu wana chinjwa kwa kuwa dini imesema wakati kuchinjwa kwa hao watu hakuhusiani na dini bali watu wamekuwa overwhelmed na maneno ya Al Baesh.
Usikatae kuwa wanafanya huo unyama kufuata misingi ya dini chini ya uongozi wa Muhammad. kama unabisha, tuambie nini maana ya CAPITAL Punishment iwapo muislam ataukataa uislam na kujiunga na imani aijuayo yeye? kama hiyo haitoshi. Muhammad mwenyewe anasema yeyote atakaye hama KILL HIM?HER.
hiyo haina ubishi wanatekeleza SHARIAH. soma hata posts za wenzako kabla wanapojisifia kuwa ni haki kumkata mtu mkono ikiwa amekwiba!!
 
Mashetani hawa hakuna Mungu wa Namna hii. Mungu anapenda amani , msamaha na utii . hawa Mungu wao Shetani Hakika

Kamata hii ya kiongozi wao ili uone wanakozitoa hizo SHARIAH . na huyu ndio kiongozi wanamuabudu anaongozwa na devil(Jinn) halafu anakuja mtu hapa kuwa Muhammad na YEsu walikuwa waislam.

52 Characteristics of the Day of Judgment, Paradise, and Hell

(16)
Chapter: The Mischief Of The Shaitan And How He Sends His Troops To Tempt People, And With Every Person There Is A Qarin (Companion From Among The Jinn)
(16)
بَاب تَحْرِيشِ الشَّيْطَانِ وَبَعْثِهِ سَرَايَاهُ لِفِتْنَةِ النَّاسِ وَأَنَّ مَعَ كُلِّ إِنْسَانٍ قَرِينًا

Abdullah b. Mas'ud reported that Allah's Messenger (ﷺ) said:

There is none amongst you with whom is not an attache from amongst the jinn (devil). They (the Companions) said: Allah's Messenger, with you too? Thereupon he said: Yes, but Allah helps me against him and so I am safe from his hand and he does not command me but for good.

حَدَّثَنَا عُثْمَانُ بْنُ أَبِي شَيْبَةَ، وَإِسْحَاقُ بْنُ إِبْرَاهِيمَ، قَالَ إِسْحَاقُ أَخْبَرَنَا وَقَالَ، عُثْمَانُ حَدَّثَنَا جَرِيرٌ، عَنْ مَنْصُورٍ، عَنْ سَالِمِ بْنِ أَبِي الْجَعْدِ، عَنْ أَبِيهِ، عَنْ عَبْدِ اللَّهِ بْنِ مَسْعُودٍ، قَالَ قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم ‏"‏ مَا مِنْكُمْ مِنْ أَحَدٍ إِلاَّ وَقَدْ وُكِّلَ بِهِ قَرِينُهُ مِنَ الْجِنِّ ‏"‏ ‏.‏ قَالُوا وَإِيَّاكَ يَا رَسُولَ اللَّهِ قَالَ ‏"‏ وَإِيَّاىَ إِلاَّ أَنَّ اللَّهَ أَعَانَنِي عَلَيْهِ فَأَسْلَمَ فَلاَ يَأْمُرُنِي إِلاَّ بِخَيْرٍ ‏"‏ ‏.‏
Reference : Sahih Muslim 2814 a
In-book reference : Book 52, Hadith 62
USC-MSA web (English) reference : Book 39, Hadith 6757
 
Hata sisi tunao huo uwezo wa kutafuta na kutiririka. Kwani ukitiririka ndio huwezi kushitakiwa? Kwani hujui maana ya neno uchochezi?


unapotosha kwa makusudi na pengine kwa faida yako,so kuangalia kipindi kilichokuwa kikimuhoji hyo mchinjaji ni uchochezi?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…