swahiba Senior
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 2,478
- 3,628
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NDIOMahakama ya kadhi kwa Tanzania ikija kufanikiwa itakuwa na haya mambo?
Sawa mkuu nimekuelewa, ila hujanijibu swali langu.Iwe mwisho kuquote uzi mrefu namna hii
Unatupa tabu tunaotumia simu
Swali lipi mkuu?Sawa mkuu nimekuelewa, ila hujanijibu swali langu.
Unataka mwenzio afungwe. Katika hali ya kawaida huwezi kuleta mada ya uchochezi eti watu wana chinjwa kwa kuwa dini imesema wakati kuchinjwa kwa hao watu hakuhusiani na dini bali watu wamekuwa overwhelmed na maneno ya Al Baesh.mkuu The Bold naomba mwendelezo wa ile story ya Facebook na mafounder wake plz,naisaka siioni ,pia kwa hali ya uchumi wa sasa hizi story uziweke katika mfumo wa kitabu then uwe unauuza hata kama itakuwa ni kwa sh 2000 itatosha sana,pia ni vema ukatafuta safu kwenye magazeti ukawa na unaandika makala zako ama anzisha blog,utapata mashabiki,kuhusu blog na ushauri ni pm kama vp mkuu
Hiyo hukumu haisaidii kumaliza uhalifu, la sivyo wasingeendelea kuchinjwa kila kukicha mana yake ndo kwanza wanaongezekaHiyo safi sana - inaleta amani katika nchi. Watu wanaishi kwa amani kwani hao wahalifu wachache wanakua mfano. Mtu huogopi kutembea usiku kuwa utauwawa au utaibiwa. Kwa vile amani ilivyoshamiri Watu wanashighulikia kujenga jamii badala ya kukaa kuogopa majambazi, wauwaji na wauza madawa ya kulevya. Angalia duka la dhahabu kama hili unakuta mlango uko wazi na wateja wanaingia na kutoka na hakuna hata mlinzi - je hii sio neema ?
Na makosa ya kuuwawa ni ukiuwa mtu, au kuuza madawa ya kulevya - makosa mengine yote ni kufungwa.
![]()
Unataka mwenzio afungwe. Katika hali ya kawaida huwezi kuleta mada ya uchochezi eti watu wana chinjwa kwa kuwa dini imesema wakati kuchinjwa kwa hao watu hakuhusiani na dini bali watu wamekuwa overwhelmed na maneno ya Al Baesh.
Hata sisi tunao huo uwezo wa kutafuta na kutiririka. Kwani ukitiririka ndio huwezi kushitakiwa? Kwani hujui maana ya neno uchochezi?Hapana hawezi fungwa hata akishtakiwa coz karibia mambo yote anayoyaandikaga mkuu The bold yanavyanzo vyake vya taarifa na hata wewe ukitaka waweza kwenda kutafta na kusoma,sema yeye ni mtaalamu wa kutafta makala nzuri,kuzifasili kwa lugha nzuri na fasaha ya kimasimulizi na kuongezea mvuto na mtililiko sahihi,labda cha kuogopa ni kimoja atakapoanza kuandika na kutoa vitabu ama makala atakuwa wazi(expossed)tofauti na sasa ana cover kupitia Jf,na hapa madhara yanaweza kuwepo na faida pia
Usikatae kuwa wanafanya huo unyama kufuata misingi ya dini chini ya uongozi wa Muhammad. kama unabisha, tuambie nini maana ya CAPITAL Punishment iwapo muislam ataukataa uislam na kujiunga na imani aijuayo yeye? kama hiyo haitoshi. Muhammad mwenyewe anasema yeyote atakaye hama KILL HIM?HER.Unataka mwenzio afungwe. Katika hali ya kawaida huwezi kuleta mada ya uchochezi eti watu wana chinjwa kwa kuwa dini imesema wakati kuchinjwa kwa hao watu hakuhusiani na dini bali watu wamekuwa overwhelmed na maneno ya Al Baesh.
Mashetani hawa hakuna Mungu wa Namna hii. Mungu anapenda amani , msamaha na utii . hawa Mungu wao Shetani Hakika
Hata sisi tunao huo uwezo wa kutafuta na kutiririka. Kwani ukitiririka ndio huwezi kushitakiwa? Kwani hujui maana ya neno uchochezi?