Adhabu ya kifo kwa kuchinjwa mbele ya kadamnasi (Tahadhari: maelezo, picha na video za ukatili)

Status
Not open for further replies.
HUU UZI UNAKAUCHOCHEZI CHA DINI HUUUUUU ngoja nisubiri MDAHALO MKALI WA KIDINI HAPA kwako mkuu bold bali umeweka na angalizo hapo juu uzi huu wa2 wengi hawatauelewa hasa hasa WAKRISTO Kwamba hata kama ni maelezo yanajieleza bado m2 ataanza kutukana dini ya mwengine mi naona UNATOA UZI MZURI ILA UWE UNAANGALIA NA UZI AMBAO HAUNA UCHOCHEZI WA KIDINI nawasilisha
 
The Bold nadhani hii habari au story umeikopi na au kuitafsiri kutoka kwenye vyanzo vya habari vyenye mrengo wa Kishia.
Nasema hivi kwa sababu japokuwa sikubaliani sana na utwala wa Kifalme wa Saudia lakini pia nafahamu vizuri kadhia y Al Nimr na nafahamu sana propaganda za jamaa wa Kishia hasa serikali ya Iran dhidi ya Utawala wa Kifalme wa Saudia.
Inshort sisi waislam Sunni pamoja na kutokukubliana katika baadhi ya mambo,lakini Shia huwa na chuki zaidi na hutumia juhudi kubwa kufanya propaganda dhidi ya mataifa yenye Sunni wengi.
Tahadhari yangu kwako bwana The Bold sijui wewe imani yako lakini unatakiwa kuwa makini sana kwenye issue sensitive kama hizi manake unaweza kufanya kazi ya watu fulani bila kutambua.
 
Hahahah!! Pamoja sana Mkuu..

Shukrani
 
mkuu the bold next time unitag pia,nimekuwa nachungulia sana forum hii kupata makala zako,hasa king makers sehem ya nne lakini wapi!ahsante kwa nondo hii ya leo.
Sehemu ya nne ya The King Makers soon inakuwa tayari...

And nimekuongeza kwenye taglist tayari.!!
 
The Bold Thanks ,pse tag me to all your post,,,,,,Sikujua haya mambo kwa undani kama ulivyoelezea
 
Wasio amini dini huona dini ndiyo chanzo cha kila aina ya uovu hapa duniani na wakristo huuchukia uislamu na kuona ndiyo ugaidi wenyewe. Lakini wakati huo mataifa ya kimaghalibi sioni yakichukiwa na kuonekana pia ni chanzo cha uovu,mfano huo ukatili unaofanywa na ufalme wa Saudi Arabia wao wamaghalibi wanaona ni kawaida tu ila ndiyo hao hao waliyomvamia Gaddafi na kuiharibu nchi watu wanakufa kila siku hakuna cha amani wala uhuru.

Na mifano ipo mingi ya nchi zilizo haribiwa na hawa watu,ila ajabu hatuoni kuwa ni waharibifu na makatili ila chuki zetu zote tumezielekeza kwenye dini hasa uislamu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…