Adhabu ya kifo kwa kuchinjwa mbele ya kadamnasi (Tahadhari: maelezo, picha na video za ukatili)

Status
Not open for further replies.
Mkuu The bold naona hawa jamaa wa shigongo nao wamekopi
story yako. Daaa hongera sana kwa kuwabamba.

upload_2017-6-2_9-58-43.jpeg
 
Kijana unachanganya changanya mambo ili mradi mtu asikufatilize sio.
Jaribu kuleta jambo moja baada ya lengine kisha omba maelezo. Sasa hapa umechanganya habar ya boko haram, sjui Sudan n.k
Mi nakujibu nukta moja baada ya nyingine.
Kwanza Boko haramu ni moja ya kakundi ya kikhawaarij(yametoka katika utii wa mtawala wa haki). Kundi ambalo linamadhara sana kwa waislam na wengine kwa ujumla. Kwa kuzingatia mafunzi ya dini kundi hili na harakati zake zote wanazofanya hazipo katika mafundisho ya dini yetu. Na ikiwa wanalo wanalolifanya ukadhani limefunzwa na uislam liletee ref.

Case ya Sudan sijawahi kuiskia pamoja na hilo sijui kuwepo kwa hukmu ya mwanamke kuuwa ikiwa ameolewa na asie muislam. Japo ninalojua tu ni kua uislam umekataza mwanamke muislam kuolewa na asie muislam. Kama una ref ya hayo yaliyofanywa yamefunzwa na dini tuoneshe.

Kuhusu majini kua wa kwanza kuamini huu ni uzushi wa ajabu uliouleta maandiko uliyoleta hayasemi hivyo. Kama nilivyosema awali unalazimisha yale unayowaza kuhusu uislam yawe ndio lakin nafasi hiyo haipo.
Nakueleza kilichopo kwenye hiyo hadithi uliyoleta.
Quran 67.5 inasema

"Na kwa hakika tumeipamba mbingu ya karibu kwa mataa, na tumeyafanya ili kuwapigia mashetani, na tumewaandalia adhabu ya Moto uwakao kwa nguvu." katika kazi za nyota alizozipa Allah miongoni mwazo ni kuwapigia mashetani wanaotaka kuvuka kuelekea mahala ambapo hawaruhisiwi kufika. Hivyo kila wanapikaribia ukingo huo wanatandikwa.

Habari ya hao majini waliosikia quran na kuiamini ni haqi hilo halina shaka. Sijajua utata wako uko wapi hapo!

Katika vitu navyo vishangaa kwenu ni kusema mungu wenu huyo mnaemuabudu haja umba kila kiumbe. Yani kuna viumbe si vyake. Huoni kama anamapungufu? Yani kayika ulimwengu kuna viumbe havijaumbwa na unae muabudu!!!

Basi mimi ninaemuabudu ameumba vyote wakiwemo majini katika hili sijaona tusi bali umempa sifa anayostaki yeye ndie Mungu wa majini na watu na kila kiitwacho kiumbe. Pia ametakasika kua na mke na mtoto. Hizo sifa za viumbe wake si yeye
Mungu hakuumba majini aliumba malaika,binadamu,wanyama na vinginevyo.

Majini ni malaika walioasi sisi ndivyo tunavyoamini.

Na tumekatazwa kuwa na ushikirikiano nao .

Ni Rafiki zake sheitwan.

Sasa kama nyie ni ndugu zenu katka imani basi ni ajabu sana.
 
Ni kawaida kwa majini kuwatii manabii. Hata Yesu alitiiwa nayo.
 
Waislamu wa Tz mmeusoma huu uzi lakini?mmhh kaka yangu alibadili dini akaingia huku kwa hawa wenzetu!!sisi kama familia tumeamua kumtenga kabisa kabla issues za kufuga majini,kujitoa mhanga,ugaidi na mambo mengine hayajaingia kwenye familia
 
Mungu hakuumba majini aliumba malaika,binadamu,wanyama na vinginevyo.

Majini ni malaika walioasi sisi ndivyo tunavyoamini.

Na tumekatazwa kuwa na ushikirikiano nao .

Ni Rafiki zake sheitwan.

Sasa kama nyie ni ndugu zenu katka imani basi ni ajabu sana.
Elimu ndo msingi. Nani kakwambia malaika ana asi?
Malaika hakuumbwa kwa matashi kama alivyo mwanadamu na jini.
Malaika tangu aumbwe kwakwe hajawahi kumuasi muumba wake bali anafanya kila analo amrishwa.
Ushahidi wangu ni huu. Quran 66:6
"Enyi mlio amini! Jilindeni nafsi zenu na ahali zenu na Moto ambao kuni zake ni watu na mawe. Wanausimamia Malaika wakali, wenye nguvu, hawamuasi Mwenyezi Mungu kwa anayo waamrisha, na wanatenda wanayo amrishwa."

Mwanadamu anaweza kuasi na hivyo pia ndivyo alivyoumbwa jini.

Nisaidie swali hili. Malaika alieasi umemuita jini mwanadamu alieasi nae utamwita nani?
Elimu kwanza!
Kisho ndo uje kujadili
 
Leta aya inayokwenda na kinyume na niliyo yasema mzee.Sio unaandika kisa una vidole vya kuandika.Jibu hoja kwa hoja sio "...mbona...".

Ulitakiwa kuelewa nilichokiandika sio uishie kusoma tu hoja zangu.Uislamu haujaanzishwa na SHETANI.Na mpaka naingia kaburini sio wewe tu hata wakubwa wenu katika dini mnaowafata kichwa mchunga hamuwezi kuleta ushahidi ya kuwa uislamu umeanzishwa na SHETANI.

Pili,rudi kajifunze kwa kina juu ya neno SHETANI,ukirudi na maana ya shetani nitakupa ufahamu sahihi juu ya hilo tamko la SHETANI...
Shetatwani/shetani/lusuferi/jinn/ pepo kinyamkela vyote ni vya kuishi motoni. na hawana nafasi tena ya kuingia Mbinguni kwenye makzi ya milele. Iwapo shetani anasema " hakika hii ndiyo dini ya mola wetu na hatutamshirikisha mtu yeyote. sasa wewe unashirikiana nao kwa vigezo gani? au nawe ni wa ujinini?
halafu unakuja na hoja dhaifu hapa, nielewe unachosema wewe! wewe na Muhammad nani mkali wao? Soma vitabu vyenu kwa kutaka kuelewa siyo kukariri tu. au ndio unatufanyia Takiya?
 
Ni kawaida kwa majini kuwatii manabii. Hata Yesu alitiiwa nayo.
Muhammad ni NABII?
na je unaweza tufafanulia kwanini yalimtii Yesu?
na kukoke ukilinganisha na ukaribu alokuwa nao Muhammad na viumbe hawa(Majini?
 
Elimu ndo msingi. Nani kakwambia malaika ana asi?
Malaika hakuumbwa kwa matashi kama alivyo mwanadamu na jini.
Malaika tangu aumbwe kwakwe hajawahi kumuasi muumba wake bali anafanya kila analo amrishwa.
Ushahidi wangu ni huu. Quran 66:6
"Enyi mlio amini! Jilindeni nafsi zenu na ahali zenu na Moto ambao kuni zake ni watu na mawe. Wanausimamia Malaika wakali, wenye nguvu, hawamuasi Mwenyezi Mungu kwa anayo waamrisha, na wanatenda wanayo amrishwa."

Mwanadamu anaweza kuasi na hivyo pia ndivyo alivyoumbwa jini.

Nisaidie swali hili. Malaika alieasi umemuita jini mwanadamu alieasi nae utamwita nani?
Elimu kwanza!
Kisho ndo uje kujadili
Unajitahidi sana kujinasua kutoka humo kwenye neti uliyojizungushia nayo, lakini wapi! Unaweza tupa kwa kifupi Quran/hadith inaelezeaje kuhusu kuumbwa kawa binadamu na nini kilitokea baada ya kukamilika kwake?
 
Muhammad ni NABII?
na je unaweza tufafanulia kwanini yalimtii Yesu?
na kukoke ukilinganisha na ukaribu alokuwa nao Muhammad na viumbe hawa(Majini?
Yesu alikuwa karibu sana na mashetani. Mpaka akawa anapiga nayo stori huko msituni
 
Hata Mungu wenu wa kwenye biblia ana urafiki mkuwa na shetani. Naona anapiga stori tu na shetani kwenye Ayubu 1:6 na kuendelea. Hahahaha....
 
Kuwa nayo karibu kivipi? Toa maelezo ya kina siyo unajumlisha jumlisha!
Muhammada anakiri mwenyewe kuwa analo jini na linamtuma nini afanye na nini asifanye.
Unasemaje hapo?
 
Hata Mungu wenu wa kwenye biblia ana urafiki mkuwa na shetani. Naona anapiga stori tu na shetani kwenye Ayubu 1:6 na kuendelea. Hahahaha....
Mungu wetu anaweza ongea na kila kiumbe alichokiumba. Siyo Allah, maana alishindwa kuongea na Muhammad direct mpaka amtumie jini jibril.
Hiyo Ayubu 1:6 umesoma kuelewa maana yake au kwanini aliweza kuongea na huyo ibilisi/jinn sheitwan??
usije na mistary ya kukopi tu hapa.
Weka kisa chote.
 
Yesu alikuwa karibu sana na mashetani. Mpaka akawa anapiga nayo stori huko msituni
Hebu utwambie kwenye hadith hii umemwelewa nini Muhammad?
Usije tu na majibu yako ya jumla jumla, jipange vyema.

Chapter: The sickness of the Prophet (saws) and his death
(83)
بَابُ مَرَضِ النَّبِيِّ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ وَوَفَاتِهِ

وَقَوْلِ اللَّهِ تَعَالَى: {إِنَّكَ مَيِّتٌ وَإِنَّهُمْ مَيِّتُونَ ثُمَّ إِنَّكُمْ يَوْمَ الْقِيَامَةِ عِنْدَ رَبِّكُمْ تَخْتَصِمُونَ}.

Narrated Ubaidullah bin `Abdullah:

Ibn `Abbas said, "When Allah's Messenger (ﷺ) was on his deathbed and there were some men in the house, he said, 'Come near, I will write for you something after which you will not go astray.' Some of them ( i.e. his companions) said, 'Allah's Messenger (ﷺ) is seriously ill and you have the (Holy) Qur'an. Allah's Book is sufficient for us.' So the people in the house differed and started disputing. Some of them said, 'Give him writing material so that he may write for you something after which you will not go astray.' while the others said the other way round. So when their talk and differences increased, Allah's Apostle said, "Get up." Ibn `Abbas used to say, "No doubt, it was very unfortunate (a great disaster) that Allah's Messenger (ﷺ) was prevented from writing for them that writing because of their differences and noise."

حَدَّثَنَا عَلِيُّ بْنُ عَبْدِ اللَّهِ، حَدَّثَنَا عَبْدُ الرَّزَّاقِ، أَخْبَرَنَا مَعْمَرٌ، عَنِ الزُّهْرِيِّ، عَنْ عُبَيْدِ اللَّهِ بْنِ عَبْدِ اللَّهِ بْنِ عُتْبَةَ، عَنِ ابْنِ عَبَّاسٍ ـ رضى الله عنهما ـ قَالَ لَمَّا حُضِرَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم وَفِي الْبَيْتِ رِجَالٌ، فَقَالَ النَّبِيُّ صلى الله عليه وسلم ‏"‏ هَلُمُّوا أَكْتُبْ لَكُمْ كِتَابًا لاَ تَضِلُّوا بَعْدَهُ ‏"‏‏.‏ فَقَالَ بَعْضُهُمْ إِنَّ رَسُولَ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم قَدْ غَلَبَهُ الْوَجَعُ وَعِنْدَكُمُ الْقُرْآنُ، حَسْبُنَا كِتَابُ اللَّهِ‏.‏ فَاخْتَلَفَ أَهْلُ الْبَيْتِ وَاخْتَصَمُوا، فَمِنْهُمْ مَنْ يَقُولُ قَرِّبُوا يَكْتُبُ لَكُمْ كِتَابًا لاَ تَضِلُّوا بَعْدَهُ‏.‏ وَمِنْهُمْ مَنْ يَقُولُ غَيْرَ ذَلِكَ، فَلَمَّا أَكْثَرُوا اللَّغْوَ وَالاِخْتِلاَفَ قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم ‏"‏ قُومُوا ‏"‏‏.‏ قَالَ عُبَيْدُ اللَّهِ فَكَانَ يَقُولُ ابْنُ عَبَّاسٍ إِنَّ الرَّزِيَّةَ كُلَّ الرَّزِيَّةِ مَا حَالَ بَيْنَ رَسُولِ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم وَبَيْنَ أَنْ يَكْتُبَ لَهُمْ ذَلِكَ الْكِتَابَ لاِخْتِلاَفِهِمْ وَلَغَطِهِمْ‏.‏
Reference : Sahih al-Bukhari 4432
In-book reference : Book 64, Hadith 454
USC-MSA web (English) reference : Vol. 5, Book 59, Hadith 717
 
Mungu wetu anaweza ongea na kila kiumbe alichokiumba. Siyo Allah, maana alishindwa kuongea na Muhammad direct mpaka amtumie jini jibril.
Hiyo Ayubu 1:6 umesoma kuelewa maana yake au kwanini aliweza kuongea na huyo ibilisi/jinn sheitwan??
usije na mistary ya kukopi tu hapa.
Weka kisa chote.
Afadhali umekiri kuwa malaika Gabriel ni jini!!!

Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
 
Hebu utwambie kwenye hadith hii umemwelewa nini Muhammad?
Usije tu na majibu yako ya jumla jumla, jipange vyema.

Chapter: The sickness of the Prophet (saws) and his death
(83)
بَابُ مَرَضِ النَّبِيِّ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ وَوَفَاتِهِ

وَقَوْلِ اللَّهِ تَعَالَى: {إِنَّكَ مَيِّتٌ وَإِنَّهُمْ مَيِّتُونَ ثُمَّ إِنَّكُمْ يَوْمَ الْقِيَامَةِ عِنْدَ رَبِّكُمْ تَخْتَصِمُونَ}.

Narrated Ubaidullah bin `Abdullah:

Ibn `Abbas said, "When Allah's Messenger (ﷺ) was on his deathbed and there were some men in the house, he said, 'Come near, I will write for you something after which you will not go astray.' Some of them ( i.e. his companions) said, 'Allah's Messenger (ﷺ) is seriously ill and you have the (Holy) Qur'an. Allah's Book is sufficient for us.' So the people in the house differed and started disputing. Some of them said, 'Give him writing material so that he may write for you something after which you will not go astray.' while the others said the other way round. So when their talk and differences increased, Allah's Apostle said, "Get up." Ibn `Abbas used to say, "No doubt, it was very unfortunate (a great disaster) that Allah's Messenger (ﷺ) was prevented from writing for them that writing because of their differences and noise."

حَدَّثَنَا عَلِيُّ بْنُ عَبْدِ اللَّهِ، حَدَّثَنَا عَبْدُ الرَّزَّاقِ، أَخْبَرَنَا مَعْمَرٌ، عَنِ الزُّهْرِيِّ، عَنْ عُبَيْدِ اللَّهِ بْنِ عَبْدِ اللَّهِ بْنِ عُتْبَةَ، عَنِ ابْنِ عَبَّاسٍ ـ رضى الله عنهما ـ قَالَ لَمَّا حُضِرَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم وَفِي الْبَيْتِ رِجَالٌ، فَقَالَ النَّبِيُّ صلى الله عليه وسلم ‏"‏ هَلُمُّوا أَكْتُبْ لَكُمْ كِتَابًا لاَ تَضِلُّوا بَعْدَهُ ‏"‏‏.‏ فَقَالَ بَعْضُهُمْ إِنَّ رَسُولَ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم قَدْ غَلَبَهُ الْوَجَعُ وَعِنْدَكُمُ الْقُرْآنُ، حَسْبُنَا كِتَابُ اللَّهِ‏.‏ فَاخْتَلَفَ أَهْلُ الْبَيْتِ وَاخْتَصَمُوا، فَمِنْهُمْ مَنْ يَقُولُ قَرِّبُوا يَكْتُبُ لَكُمْ كِتَابًا لاَ تَضِلُّوا بَعْدَهُ‏.‏ وَمِنْهُمْ مَنْ يَقُولُ غَيْرَ ذَلِكَ، فَلَمَّا أَكْثَرُوا اللَّغْوَ وَالاِخْتِلاَفَ قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم ‏"‏ قُومُوا ‏"‏‏.‏ قَالَ عُبَيْدُ اللَّهِ فَكَانَ يَقُولُ ابْنُ عَبَّاسٍ إِنَّ الرَّزِيَّةَ كُلَّ الرَّزِيَّةِ مَا حَالَ بَيْنَ رَسُولِ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم وَبَيْنَ أَنْ يَكْتُبَ لَهُمْ ذَلِكَ الْكِتَابَ لاِخْتِلاَفِهِمْ وَلَغَطِهِمْ‏.‏
Reference : Sahih al-Bukhari 4432
In-book reference : Book 64, Hadith 454
USC-MSA web (English) reference : Vol. 5, Book 59, Hadith 717
Hii ni Quran sura ya ngapi?

Back
Top Bottom