Adhabu ya kifo kwa kuchinjwa mbele ya kadamnasi (Tahadhari: maelezo, picha na video za ukatili)

Adhabu ya kifo kwa kuchinjwa mbele ya kadamnasi (Tahadhari: maelezo, picha na video za ukatili)

Status
Not open for further replies.
View attachment 698370 Mtumishi Asante kwa post yako nzuri! nami nawakumbusha kwamba Mungu hajabadilisha Comandiments zake kwa mwanadamu [emoji123][emoji106]



0aa08dfacad8fbb2444153f6ed8f8f10--bible-quotes-bible-verses.jpg
 
gavana pole kwa kuisoma Biblia kama gazeti la udaku bila kuzingatia Maudhui [emoji15] [emoji38] hizo ayat ulizo post Bwana Yesu anakujibu [emoji117]
C2eeLPwUcAAhKrs.jpg
halafu hiyo ayat ya kolan uliyo post nakuletea mazima [emoji117]
51d52e18a52981c760cc31eda7f4a38d.jpg
[emoji117] sivyo kama ulivyo edit ili kukidhi haja yako ya kubishia [emoji12] soma hapa Amri ya Mungu [emoji117]
Exodus+20-13+Thou+Shalt+Not+Kill+red.jpg
sasa niwekee ushahidi ambao Mungu ameeleza sababu inayo halalisha uue kama ayat hii inavyo elekeza sababu inayo kuruhusu uue [emoji117]
quran-9-5-capture.jpg
Quran812-13.jpg
[emoji4]
 
kwani huyo aliyeliandika hajui maana yake ???Unashindwa nini kumuuliza??
kaandika kwa faida ya wana jamvi [emoji120] na wewe nimekuuliza kama mwana jamvi mwenye ilimu madrasa hapa!! kama hujahifadhi haijalishi jibu...!
 
ilimu ya roho huna gavana [emoji4]
2c84a13e2de3095f33aaebde6ff33f2a.jpg
kama unabisha mimi hayanihusu [emoji38]
We Mgen tangu lini ukaijua Quran...? Huna udhu halafu hujatahiriwa huwezi kuijua Quran!
Kwani Allah aliposema hicvo wewe umeelewaje? Unataka kusema waislam ndio hawajafunuliwa mengi bali kidogo? Hapa si waislam tu bali binadamu wote. Kama Allah angewafunulia yote msingekuwa hivi mlivyo. Ndio maana mnagangaikahangaika tu.
We huwezi kuijua Quran hata dakika moja. Unachokijua ni kukopi na kupest au kukopi maandiko ya uongo na kuyashabikia sana badala ya kushabikia maandiko ya kweli. Hiki unachokifanya wewe ndio alichokisema Allah kumwambia Muhammad atwambie sisi.
 
HABARI NJEMA KWA WATU WANGU WA NGUVU NIPO DAR BAADA YA KUTEMBELEA TANGA NA MOMBASA SASA NIMELEJEA.NINAWALETEA
Vumbi vumbi vumbiiii Vumbi la Congo, kitu vumbi la congo wajanja hawajutii Hii ni Dawa ya Asili kutoka Congo ni Dawa ambayo itakufanya Udumu kwa mda mrefu sana kwenye Tendo la ndoa itakufanya udumu kwa zaidi ya dakika 30 ,,45 hadi saa moja ni ya kupaka tu na haina madhara yoyote BEI NI ELFU 20 KITONGA (20000) matokeo ni mda mchache baada ya kupaka Tunapatikana MAKUMBUSHO DAR ES SALAAM.
WATU WA ARUSHA ,DODOMA,MWANZA,,KAHAMA na RUVUMA SONGEA NA MIKOA MENGINE msiwaze sana tunaweza watumia na Mikoa mingine na mahala pengine popote Tanzania.
Mzee angalia unakoweka matangazo yako watu tutakushangaa,majukwaa mengine wanaingia watu intelligent tu wasiofikiria mambo ya ngono kila wakati.jaribu chitchat kule ndo wapo watu wakusoma tangazo lako
 
Mzee angalia unakoweka matangazo yako watu tutakushangaa,majukwaa mengine wanaingia watu intelligent tu wasiofikiria mambo ya ngono kila wakati.jaribu chitchat kule ndo wapo watu wakusoma tangazo lako
Umetumia kifungu gani cha sheria kumweleza haya yote?
 
Umetumia kifungu gani cha sheria kumweleza haya yote?
Sasa wewe unafikiri ninani atakayekuja kusoma tangazo hili humu?najaribu kumpa njia sahihi kuboresha biashara yake wewe unakuja kutaka vifungu hapa,chitchat sijui majukwaa ya mapenzi jf doctors ndiyo sehem sahihi kwake.
 
Sasa wewe unafikiri ninani atakayekuja kusoma tangazo hili humu?najaribu kumpa njia sahihi kuboresha biashara yake wewe unakuja kutaka vifungu hapa,chitchat sijui majukwaa ya mapenzi jf doctors ndiyo sehem sahihi kwake.
Wapo wengi tu watalisoma. Mfano wewe tayari umeshalisoma!!
 
Duuuuuuuh hadi hamu ya kwenda kuhij imekata.

Kwetu sisi waislam tunaamini Saudi Arabia ndio ardhi takatifu,sasa kusikia unyama kama huu unafanyika ktk ardhi hiyohiyo takatifu inaleta ukakasi sana...tena kwa interest za watawala na sio Dini!
Makala hii imenihuzunisha na kuniogofya sana,nasubiri muendelezo anyway.
Shukraan
Na huko ndiko haswaa dini inafuatwa. So kabla haujasema unakijua kitu vema tazama kilipotokea....!
 
Je mbona nchi zingine za kiislam hazitoi adhabu za kuchinja watu ina maana wanakwenda kinyume na maamrisho. Me nionapo hapo ni suala la kutoa kafara kwa mamlaka zilizojuu,na suala la tawala kujenga hofu na utii wa taifa la ndio mzee ili watawala wafanye watakavo,Unachinja mtu wakati we pia ni mfu mtarajiwa.
Maagizo ya imani yao. Maana hizo hukumu ni kwa mujibu wa dini na si watu tu kutaka.....

Kumbuka Saudi arabia ndio taifa linaloshikiria misimamo ya imani ya kiislam kweli kweli.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom