Wewe uliyepewa elimu ya kiroho ,wenzako wataalamu wa elimu ya kiroho sasa inawaangamiza
Angalia mwenyewe
unaona unavyo endelea kuthibitisha kuwa ilimu ya Roho kwako ni giza [emoji33] [emoji4] rejea ulicho post eti hao ndio wataalam wa hiyo ilimu [emoji38] [emoji38] [emoji38] kakufunda nani kihivyo kibuzi..[emoji4]
Mtaalamu ni wewe unayeabudu huu msalaba??
Au wewe unawazidi kwa hiyo elimu yao? Chunga ukimwi ndio kiboko yenu
halafu ona debe lako [emoji38] [emoji38] [emoji38]
halafu ona debe lako [emoji38] [emoji38] [emoji38]
kwa mujibu wa deen yako watu wa kihivyo hukumu yao ni ipi [emoji350] [emoji350] Ukiniwekea mimi nita-retadi [emoji4] Mimi Mungu wangu na Mwalimu wangu Mkuu Yesu Ameniagiza hivi [emoji117]Hili nalo si Debe dogo la kiroho
kwa mujibu wa deen yako watu wa kihivyo hukumu yao ni ipiUkiniwekea mimi nita-retadi Mimi Mungu wangu na Mwalimu wangu Mkuu Yesu Ameniagiza hivi
huyuView attachment 700847 nae kahukumu vipi
hujanijibu gavana [emoji15] [emoji351] [emoji351] nimekuuliza kwa mujibu wa deen yako watu kama hao hukumu yake ipi [emoji46] [emoji351] [emoji351] [emoji351] weka jibu ukirejea ayat hiziHeko Yesu kama hiyo unaona ndio hukumu kwani Gugu limeshajaa na limepewa mamlaka ya kusamehe watu dhambi zao. Wengine ndio wamepewa vyeo vya utakatifu
30 LGBT Saints
hujanijibu gavana [emoji15] [emoji351] [emoji351] nimekuuliza kwa mujibu wa deen yako watu kama hao hukumu yake ipi [emoji46] [emoji351] [emoji351] [emoji351] weka jibu ukirejea ayat hizi[emoji117] karibu gavana[emoji120]
No [emoji118]Hiyo uliyotuletea ndiyo hukumu aliyoitoa yesu?? Wacha kumpakazia Yesu. Umesahau yesu alisema wengine huzaliwa gays?? Sasa atoe hukumu gani??
Soma math13;13
No [emoji118]
Yesu hakusema wengine huzaliwa Gays. (mashoga)
Bali amesema wengine huzaliwa wakiwa HANITHI hivyo kushindwa kuoa.
Hanithi ni tofauti na Shoga
Hanithi ni Kilema kama vile Arbino, au Kiwete au Kiziwi, mtu huzaliwa akiwa hivyo.
Shoga ni tabia ambayo mtu anajifunza au kufundishwa au kurithi kwa wengine.
Hakuna binadamu anayezaliwa akiwa Shoga.
Shoga ni tabia
Uhanithi ni Ulemavu.
Yesu alisema wengine wanashindwa kuoa kwakuwa wamezaliwa wakiwa na Uhanithi kama Kilema.
Alikuwa anazungumzia kuhusu kipaji cha kuoa.
Shoga anaoa na kuolewa na kufanya tendo la ndoa na kuzaa watoto.
Hanithi hawezi kufanya hivyo, na hivyo kushindwa kuoa.
Mpeni Yesu aliyoyasema Yesu.
aya uliyo tupia hii hapa [emoji117]Hiyo uliyotuletea ndiyo hukumu aliyoitoa yesu?? Wacha kumpakazia Yesu. Umesahau yesu alisema wengine huzaliwa gays?? Sasa atoe hukumu gani??
Soma math13;13
aya uliyo tupia hii hapaView attachment 701152 inakuhusu ndivyo ulivyo kabsaaa mimi nimekuuliza kwa mujibu wa deen yako wafanyao kihivyo hukumu yao ipi.. badala kujibu ukirejea hizo ayat za furqan nilizo kurejesha unaleta saundi hizo ayat za furqan hazikuhusu eeh
hukumu aliyo elekeza Yesu [emoji117]Kumbe bado hujaleta hiyo hukumu alyosema yesu.
Hukumu unayotaka isikilize hapa
hukumu aliyo elekeza Yesu [emoji117]
000najua huwa unasukumwa kutoacha mgpngo wa ngisi kutokana na majunun ashki hivyo unapigia debe upate wafuasi wengine [emoji38] [emoji38]
Hukumu ya mashoga ndio yesu alisema let them grow ????, UNAPATA WAPI MANENO HAYA ??
Jee kama hilo gugu ndio limekuwa ndio ngano yenyewe kama lilivyo kanisa lenu na mshalipa mamlaka ya kusamehe dhambi jee hizo dhambi kweli zimesamehewa ??
na wale watakatifu wenu mashoga vipi nao ??? GAY SAINTS ??
gugu ni gugu na ngano ni ngano [emoji106] kwa wewe kukosa ilimu Ruhu unalazimisha gugu liwe ngano...[emoji33] [emoji33] Biblia Takatifu haikuandikwa kama atakavyo gavana [emoji4] umeshindwa kujibu swali langu gavana [emoji117] deen yako imetoa hukumu gani kwa wanao mgongo wa ngisi [emoji350] [emoji350] [emoji350] umechanga nyikiwa hadi unalinganisha eunuchs [emoji117] View attachment 701344 View attachment 701336 na gays [emoji117] View attachment 701338 ni kitu kimoja [emoji33] [emoji38] [emoji38] wewe nakutumia kama ubao wa kufundishia ili The like waje kwa Yesu si zaidi ya hapo [emoji4]
kama umesikia shukran gavana [emoji4] sisi wagala tunasubiri siku yao [emoji117]Tumekusikia sasa jibu haya maswali
Hukumu ya mashoga ndio yesu alisema let them grow ????,
UNAPATA WAPI MANENO HAYA ?? AU KANISA LENU MNAUPENDA HUU MCHEZO ???
Jee kama hilo gugu ndio limekuwa ndio ngano yenyewe kama lilivyo kanisa lenu na mshalipa mamlaka ya kusamehe dhambi jee hizo dhambi kweli zimesamehewa ??
na wale watakatifu wenu mashoga vipi nao ??? AU NDIO WAMEKUWA GAY SAINTS ??
Nabisha. Yesu na Paulo ndio wauaji. Andiko lipo lakini kwa kuwa wewe ni kilaza unarushaga mamichoro tu naachana na wewe...