Adhabu ya kifo kwa kuchinjwa mbele ya kadamnasi (Tahadhari: maelezo, picha na video za ukatili)

Status
Not open for further replies.
eti ukabila marufuku [emoji117] View attachment 971216 unabweka tu [emoji117] View attachment 971338 ili muradi uonekane una juhudi kutetea deen ya maarabu [emoji12]
Sio ETI , ukabila marufuku na haya sio maneno yangu kijana ni maneno ya Mtume anaejua thamani ya binadamu
Jubair ibn Mut'im reported : The Messenger of Allah (PBUH) said :
He is not one of US who calls to TRIBALISM. He is not one of US who fights for the sake of TRIBALISM. He is not one of. US who dies following the way of TRIBALISM."
Source ; Sunan abi Dawud 5102

ahahahhhahahahaajhauaua balaa liko huku mwenzake anakataa ukabila yeye anawachana live wasio waisrael kuwa ni MBWA
MATHAYO 15:26
";Akajibu, akasema; si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia MBWA ";

Ahahahhhahahahaajhauaua umeamua kuwa MBWA sie nani adi tupinge ahahahahahqhaqhahqahhh
 

Nimetumwa kwa warabu [emoji117] na wewe baba fatuma umuabudu mola wa makkah tu [emoji117] zaidi ya hapo ni hamu ya kupulizwa makalio msikitini [emoji117] na kulondea londea maiti za mbuzi zilizo fungwa sanda [emoji117] UKAFIRI shida afu na kijiba, ndevu kama mtoto wa mee, bakora, tasbihi yeye kete kubwa, sigda kaa kifuu, huku umenyoa nyusi na kupaka wanja, ndala papa na ngulu...unatamba mtaani uswazi mii mwichilamu [emoji15] [emoji12] wee kelb tu kwa mujibu wa wenye deen [emoji117]
 
Ahahahhhahahahaajhauaua aya iko wazi ili awaonye watu wa makka , hakuna neno KUTUMWA hapo , ukinionyeshe neno " MOHAMADI KATUMWA " kwa waarabu tu , nakutumia pesa tigopesa kama alivyosema huyu bila kupepesa maneno

MATHAYO 15:26
";Akajibu, akasema , SIKUTUMWA ila kwa KONDOO waliopotea wa Nyumba ya ISRAEL";

Allah mbona amesema kweupe kwamba kamtuma Kwa nani
QURAN 21:107
" Nasi HATUKUKUTUMA ila uwe ni rehema kwa WALIMWENGU WOTE ",

ahahahhhahahahaajhauaua MBWA anatafuta pa kutokea Ahahhhahhaahaahhahhaa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…