Asante kwa taarifa... Maana nilijuwa labda wanaotekelezewa hizo adhabu wanaonewa, kumbe hukumu hizo ni kwa wauaji, wachawi, walozi, wezimashoga, wasagaji, wahaini, na wengine kama hao hizo ni Sheria nzuri, tena uzuri nyingi zinatoka Katika kitabu kitakatifu ambacho wengi wao wanakiamini, wanakipenda na wamekikubali.
Hiyo ndio namna nzuri ya kutunza amani na utulivu wa raia. Kuwalinda,kuwaogopa, kuwafuga, kuwahifadhi na kuwatetea wahalifu ni kuongeza hofu kwa raia wema ambao ni wengi katika nchi. HONGERENI SAUD ARABIA, KWA KUTEKELEZA SHERIA KWA VITENDO. maana huko si kutengeza hofu, na hata kama ni hofu basi ni hofu yenye malengo na dhamira njema ya kulinda haki,amani,na utulivu wa nchi na watu wake.
kama nchi inatengeneza hofu ili watu wake
wasiue kwa maana waokoe na watetee uhai
Wasiibe kwa maana watafute vya halali,
Wasizini kwa maana waoe
Wasiwe wachawi kwa maana wamtegee mungu
Wasiwe mashoga na wasagaji kwa maana Waume waoe wake na wake waolewe na Waume
Na mengine kama hayo...
Mi naipenda iyo serikari na napenda serikali yangu ingenijengea hofu ya namna iyo.
Kwa maana hofu kama hii kwa mwenye akili ni NJEMA.